Home » » Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabrielly Daqqarro awafunda wakina Mama Arusha

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabrielly Daqqarro awafunda wakina Mama Arusha

Written By CCMdijitali on Thursday, January 26, 2017 | January 26, 2017



Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabrielly Daqqarro akisalimiana na baadhi wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Wilayni Arusha,katika Ofisi za CCM Wilayani Arusha.


Katibu wa UWT Kata ya Kaloleni Bi Swaumu Kassim akisalimina na Mkuu wa Wilaya ya Arusha.


Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Bi Mary Kisaka akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabrielly Daqarro katika Viwanja vya Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.


Mkuu wa Wilaya ya Ndg Gabrielly Daqarro katika picha na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli ,Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha,Bi Mary Kisaka pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT.


Mkuu wa Wilaya ya Ndg Gabrielly Daqarro katika picha na Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha,Bi Mary Kisaka pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT.


Mwenyekiti wa UWT Kata ya Sekei Bi Akira na Bi Swaumu Kassim ,Katibu wa UWT Kata ya Kaloleni katika Viwanja vya Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.


Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha,Bi Mary Kisaka ,Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari  pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Arusha,wakati akiwasalimia katika Ofisi ya UWT Wilaya ya Arusha.
Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT na Katibu wa CCM Kata ya Sekei Bi Ruth Msuya akiwa na Wajumbe wenzake (kulia0Bi Mariama ,Katibu wa UWT Sokon I.



Mkuu wa Wilaya ya Ndg Gabrielly Daqarro akiongea na kuwaasa kuwa makini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama na Jumuiya zake 2017 , Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Wilayani Arusha, katika Ofisi ya UWT Wilayani Arusha.


Mkuu wa Wilaya ya Ndg Gabrielly Daqarro katika picha na Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha,Bi Mary Kisaka ,Bi Jane Nyari Katibu wa UWT Wilayani Arusha   pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT.

Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link