Comoro kushirikiana na Tanzania katika sekta za kimkakati asema Rais Azali Anena

  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Visiwa vya Comoro Mheshimiwa Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazumgumzo na Rai...

Latest Post

RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WAPYA 422 WA JWTZ JIJINJI ARUSHA

Written By CCMdijitali on Saturday, September 23, 2017 | September 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride katika sherehe ya kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya 422 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017. (PICHA NA IKULU)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride katika sherehe ya kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya 422 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na jukwaa kuu katika sherehe ya kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya 422 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akitunuku kamisheni kwa maafisa wapya 422 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akitunuku kamisheni kwa maafisa wapya 422 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
Sehemu ya umati wa maelfu ya wananchi ukimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania an Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania an Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na madiwani na waliowahi kuwa madiwani wa CHADEMA walioamua kuhamia CCM wakati wa sherehe za kukamisheni maafisa wapya wa kijeshi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Septemba 23, 2017.






































































































































































 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link