Home »
KITAIFA
» Mhe. Rais Samia apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais Yoweri Museven wa Uganda
Mhe. Rais Samia apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais Yoweri Museven wa Uganda
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalum
kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni uliowasilishwa kwake na
Mjumbe Maalum ambae pia ni Waziri wa Ulinzi wa Uganda Mhe. Vicent Bamulangaki
Sempijji, mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 17
Januari, 2022. |

Januari, 2022.
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe
Maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni ambae pia ni Waziri
wa Ulinzi wa Uganda Mhe. Vicent Bamulangaki Sempijji, Ikulu Chamwino Mkoani
Dodoma leo tarehe 17 Januari, 2022. |