Dc Bulembo aendelea na ziara ya kijiji kwa Kijiji..na Leo alikua Kata Ya Mpapayu yenye vijiji vinne..amevifikia vyote kijiji cha : Kwamyefu,Mgome,Mpapayu na Magoda.
Mpaka sasa ameweza kufikia Kata 22 kati ya 37 na vijiji 85 kati ya 126#Kaziiendelee.
📸Mkuu wa Wilaya ya Muheza Mheshimia Halima Bulembo akiongea na Wananchi wa Kata ya Mpapayu |