|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na
Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA) Jijini Dar es Salaam leo tarehe 20 Februari, 2022. |

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono
wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam waliofika kumpokea wakati akiwasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe
20 Februari, 2022 mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi katika nchi ya
Ufaransa na Ubelgiji. |

Ufaransa na Ubelgiji.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam
waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini
Dar es Salaam leo tarehe 20 Februari, 2022 mara baada ya kuhitimisha ziara yake
ya kikazi katika nchi ya Ufaransa na Ubelgiji. |

Sehemu ya Wananchi wakishangilia mara baada ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 20
Februari, 2022. PICHA NA IKULU