Home »
KIMATAIFA
» Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania Wanaoishi nchini Ufaransa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania Wanaoishi nchini Ufaransa
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Watanzania
wanaoishi nchini Ufaransa katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania Jijini Paris
tarehe 13 Februari, 2022. |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akifurahia pamoja na
Vijana na Watoto wakati akiwasili katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania,
Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya
kuwasikiliza na kuzungumza nao tarehe 13 Februari, 2022. |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mhe. Liberata
Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Samwel Shelukindo pamoja na
Watanzania waishio Ufaransa wakiimba wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili
katika Ofisi za Ubalozi, Paris nchini Ufaransa. |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa
katika picha ya pamoja na Watanzania waishio nchini Ufaransa baada ya
kuwasikiliza na kuzungumza nao katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Jijini Paris tarehe 13 Februari, 2022. |

Samia Suluhu Hassan akiagana na Watanzania
wanaoishi nchini Ufaransa mara baada ya kuzungumza nao Paris nchini
Ufaransa. |

Samia Suluhu Hassan akizungumza na mtoto
ambaye wazazi wake ni Watanzania wanaoishi nchini Ufaransa mara baada ya
kuzungumza nao Paris nchini Ufaransa. |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Watoto Watanzania
ambao Wazazi wao wanaishi nchini Ufaransa tarehe 13 Februari, 2022 |
|
Watanzania Waishio nchini Ufaransa
wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao katika Ofisi za Ubalozi wa
Tanzania Jijini Paris tarehe 13 Februari, 2022. |