Home »
KIMATAIFA
» Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan atembelea Kituo cha Ewezeshaji wa Wafanyabiashara
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan atembelea Kituo cha Ewezeshaji wa Wafanyabiashara
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Mkurugenzi wa Kituo cha kuwezesha Wajasiriamali cha Station F Start Up Bi.
Roxanne Varza pamoja na Meneja Mawasiliano wa Kituo hicho Bw. Grégoire Martinez
kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa Kituoni hapo ikiwemo kutoa fursa kwa
wajasiriamali wadogo kupata elimu ya ubunifu wa kibiashara, fursa za mitaji yenye
masharti rafiki pamoja na masoko wakati alipotembelea Kituo hicho leo tarehe 12
Februari, 2022, Paris nchini Ufaransa) |

Mkurugenzi wa Kituo cha Station F Start Up facility Bi. Roxanne Varza
kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa Kituoni hapo mara baada ya kukitembelea leo
tarehe 12 Februari, 2022. |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi
ya Wabunifu na wafanyabiashara katika
Kituo hicho cha Station F Start Up facility mara baada ya kukitembelea Kituo
hicho Paris nchini Ufaransa leo tarehe 12 Februari, 2022. |

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na kituo
cha Station F Start Up facility mara baada ya kukitembelea Kituo hicho Paris
nchini Ufaransa leo tarehe 12 Februari, 2022. |