Home » » RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA BENKI YA AFRIKA - IKULU CHAMWINO

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA BENKI YA AFRIKA - IKULU CHAMWINO

Written By CCMdijitali on Wednesday, February 9, 2022 | February 09, 2022

 

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino leo tarehe 09 Februari, 2022.

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino leo tarehe 09 Februari, 2022.

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link