|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimuapisha Mhe. Angeline Mabula kuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na
Maendeleo ya Makazi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
leo tarehe 09 Februari, 2022.
|
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akishuhudia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline
Mabula akila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 09 Februari, 2022.
|
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Ardhi Mhe. Angeline Mabula na Naibu
Waziri wa Ardhi Mhe. Ridhiwani Kikwete mara baada ya kumuapisha Waziri Mabula
katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 09
Februari, 2022.
|
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka, Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Waziri
wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula mara baada ya
kumuapisha katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo
tarehe 09 Februari, 2022.
|
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo
na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tulia Ackson mara
baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. |