Home »
KITAIFA
» Rais Mhe. Samia azungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina Ikulu Chamwino
Rais Mhe. Samia azungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina Ikulu Chamwino
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)
Dkt. Akinwumi Adesina mara baada ya mazungumzo yao leo tarehe 09
Februari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)
Dkt. Akinwumi Adesina pamoja na Ujumbe alioambatana nao leo tarehe 09
Februari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. |