Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi
mbalimbali wa dini katika Sherehe za kumpongeza Askofu wa Jimbo Katoliki la
Rulenge Ngara,Severine Niwemugizi katika Jubilee ya Miaka 25 ya Utumishi wake wa
Uaskofu leo tarehe 22 Februari, 2022 katika viwanja vya Posta Ngara mkoani
Kagera.
|

Kagera. |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu
Hassan akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severine
Niwemugizi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Posta Ngara kwa ajili ya
kuhudhuria Sherehe za kumpongeza Askofu huyo leo tarehe 22 Februari, 2022
|
|
Sehemu ya Viongozi mbalimbali wa Dini, Mapadree,Masista,
pamoja na wananchi wa Ngara wakiwa katika Jubilee ya miaka 25 ya Askofu wa
Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi iliyofanyika katika
viwanja vya Posta Ngara mkoani Kagera.
|
|
Shamrashamra za Jubilee ya Miaka 25 ya Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi katika viwanja vya Posta Ngara mkoani Kagera. |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu
Hassan akiwa katika picha na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara,
Severine Niwemugizi, viongozi mbalimbali wa Serikali na Watoto wa kipapa wa
Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara katika Jubilee ya Miaka 25 ya Utumishi wake wa Uaskofu
leo tarehe 22 Februari, 2022 katika viwanja vya Posta Ngara mkoani Kagera.
|
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu
Hassan akiwa katika picha na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara,
Severine Niwemugizi, viongozi mbalimbali wa Serikali na Watoto wa kipapa wa
Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara katika Jubilee ya Miaka 25 ya Utumishi wake wa Uaskofu
leo tarehe 22 Februari, 2022 katika viwanja vya Posta Ngara mkoani Kagera. |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu
Hassan akiwa katika picha na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara,
Severine Niwemugizi, pamoja na Maaskofu wengine kutoka majimbo mbalimbali
Katoliki nchini, na nje ya nchi katika Jubilee ya Miaka 25 ya Utumishi wake wa
Uaskofu leo tarehe 22 Februari, 2022 katika viwanja vya Posta Ngara mkoani Kagera.
PICHA NA IKULU
|