ZIARA YA WAZIRI NAPE NNAUYE TBC DAR ES SALAAM
|
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.
Nape Nnauye akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Jim Yonazi (katikati),
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba wakiwa
pamoja na wafanyakazi wengine kwenye ziara ya Waziri huyo alipotembelea Ofisi
na studio za TBC zilizopo jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Februari, 2022

Nape Nnauye akisikiliza kwa makini maelezo ya utendaji kazi wa studio za
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kutoka kwa Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi
wa Shirika hilo,Mhandisi Upendo Mbelle katika ziara yake ya kikazi leo tarehe
09 Februari, 2022 kwenye ofisi hizo jijini Dar es Salaam.

Nape Nnauye akiwa amekaa mbele ya studio za utangazaji za Shirika la Utangazaji
Tanzania (TBC) zilizopo jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2022
katika ziara yake ya kikazi kwenye Shirika hilo.
|
|
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoolojia ya Habari, Mhe.
Nape Nnauye akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Jim Yonazi (wa kwanza
kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub
Rioba (aliyesimama katikati) akiwa kwenye ziara ya kikazi alipotembelea studio
ya TBC 2 iliyopo kwenye Ofisi za Shirika hilo zilizopo jijini Dar es Salaam
tarehe 9 Februari, 2022
|
|
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape
Nnauye akiongea na viongozi na wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania
(TBC) wakati wa ziara yake ya kikazi kwenye Ofisi za Shirika hilo lililopo
jijini Dar es Salaam tarehe 9 Februari, 2022
|
|
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.
Nape Nnauye akikagua jiko lililopo kwenye studio ya kipindi cha Jambo Tanzania
cha Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati wa ziara yake ya kikazi kwenye
ofisi za Shirika hilo lililopo jijini Dar es Salaam tarehe 9 Februari, 2022
|