KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA
MIUNDOMBINU YATEMBELEA MRADI WA
UJENZI WA DARAJA LA JP MAGUFULI
( KIGONGO – BUSISI)
•Urefu wa Daraja Km 3.2 na Barabara unganishi Km 1.66
•Ajira za wazawa 753 kati ya 809
•Mashimo ya nguzo za msingi 382 yamekamilika kati ya 804 (47.51%)
•Zege la kufunika nguzo za msingi 13 zimekamilika kati ya 65 (20%)
•Nguzo za kwenye maingilio ya Daraja 1 imekamilika kati ya 2 (50%)
•Nguzo za katikati ya daraja 4 kati ya 65 zimekamilika (6.15%)
•Nguzo za msingi 358 zimejengwa kati ya 804 (44.53%)
•Utekelezaji wa mradi umefika 41.59%
•Gharama za mradi ni Shilingi Bilioni 716.3
•Mradi unatarajia kukamilika Februari, 2024
#kaziiendelee๐ฅ๐ฅ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ
@bunge.tanzania



