Home » » SEMINA (MAFUNZO) YA ANUANI MAKAZI -NJOMBE

SEMINA (MAFUNZO) YA ANUANI MAKAZI -NJOMBE

Written By CCMdijitali on Tuesday, March 29, 2022 | March 29, 2022

  









SEMINA (MAFUNZO) YA ANUANI MAKAZI


Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe Waziri Waziri Kindamba. Akiongozana pamoja na Katibu wa CCM Mkoa wa Njombe na Mkuu wa Wilaya ya Njombe, wameshiriki katika Ufunguzi wa semina ya Anuani ya Makazi kwa vijana 200 waliochaguliwa na Halmashauri ya Mji wa Njombe.

Mkuu wa Mkoa, amesisitiza vijana wafanye haraka kwenye zoezi la uandikishaji wa Anuani za Makazi na Ufanisi ili kuhakikisha tunakuwa namba moja kitaifa na kutoka katika nafasi zile za mwisho

Vijana kujitokeze kwenye chanjo za Uviko 19, kwawingi maana kinga ni bora kuliko tiba ambayo ghalama zake ninkubwa sana, kulingana na Chanjo za Bure zilizotoletwa na Serikali ya Awamu ya Sita, asema Mhe, Waziri Waziri.

Awasisitiza vijana hao wote kutokea kwenye Uzinduzi wa Mwenge wa Uhuru Mkoani Njombe utakao fanyika siku ya Jumamosi Tarehe 02/04/2022 katika viwanja vya Sabasaba Njombe, asema Mhe, Waziri Waziri.

#vijanawamamasamia🇹🇿
#VisitNjombe
#kaziendelee

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link