MHE.DOROTHY
GEORGE KILAVE, MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ANATARAJIA KUSOMA TAARIFA YA
UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM KWA MWAKA MMOJA 2020/2021.
Ofisi ya
Mbunge Jimbo la Temeke, inawajulisha Wananchi wa Jimbo la Temeke kuwa,
Imeandaa Mkutano ambao utafanyika Tarehe 9, Aprili 2022, katika Ukumbi
wa Mikutano wa *IDDI NYUNDO* Manispaa ya Temeke. Kuanzia Saa 4
Asubuhi-10:00 Jioni.
"WAJUMBE WOTE WALIOPATA MWALIKO MAALUMU WA MKUTANO, NDIO WATASHIRIKI MKUTANO KWA NIABA YA WANANCHI WENGINE JIMBONI."
AJENDA KUU. Mbunge Kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kwa Muda wa Mwaka Mmoja 2020/2021.
ii.Ofisi ya Mbunge, Kupokea Ushauri na Mapendekezo kuhusu Kazi, kutoka Kwa Wajumbe wa Mkutano.
*"TUKO SALAMA NA MAMA, MWAKA MMOJA WA MAFANIKIO NA KAZI IENDELEE"*
Imetolewa na Ofisi ya Mbunge Jimbo la Temeke.
@Dorothy Kilave Kwa Maendeleo Jimboni.
*@SSH✓*
Home »
KITAIFA
,
MICHEZO NA BURUDANI
» MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ANATARAJIA KUSOMA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM KWA MWAKA MMOJA 2020/2021.
MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ANATARAJIA KUSOMA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM KWA MWAKA MMOJA 2020/2021.
Written By CCMdijitali on Friday, April 8, 2022 | April 08, 2022
Labels:
KITAIFA,
MICHEZO NA BURUDANI