Home » » Mama Mariam Mwinyi Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) akutana na Makamu wa Rais wa Taasisi ya Rockefeller

Mama Mariam Mwinyi Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) akutana na Makamu wa Rais wa Taasisi ya Rockefeller

Written By CCMdijitali on Tuesday, October 25, 2022 | October 25, 2022

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) amekutana na Makamu wa Rais wa Taasisi ya Rockefeller Andrew Sweet kwa makubaliano ya kuisaidia kuwezesha mfumo wa chanjo ya Covid-19 kwa wilaya za Zanzibar zilizokuwa hazifanyi vizuri wilaya ya Magharibi "A" na wilaya ya Kaskazini "A".

Pia Taasisi ya Rockefeller imeonyesha nia   ya kushirikiana na  kuisaidiaTaasisi ya Zanzibar Maisha Bora(ZMBF)  kufikia malengo ya kuwawezesha  Vijana na Wanawake kupambana na unyanyasaji wa kijinsia, lishe,vifo vya Mama na mtoto. 

📆 25 Oktoba 2022 

📍Ikulu, Migombani,Zanzibar.




Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link