Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aswali Swala ya Eid al -Adha katika Msikiti wa Mikocheni B Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoka kuswali Swala ya Eid al- Adha kwenye Msikiti Maarufu kwa jina la ‘Msikiti wa Mwinyi’ Mikocheni B Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Julai, 2022. PICHA NA IKULU