Home »
KITAIFA
» WAZIRI MKUU AWASILI NCHINI AKITOKEA NCHINI ITALIA
WAZIRI MKUU AWASILI NCHINI AKITOKEA NCHINI ITALIA
WAZIRI MKUU AWASILI NCHINI AKITOKEA NCHINI ITALIA ALIPOMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA FAO
|
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini Italia Oktoba 23, 2023. Mheshimiwa Majaliwa alimuwakilsha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani uliofanyika Rome, Italia (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
|
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini Italia Oktoba 23, 2023. Mheshimiwa Majaliwa alimuwakilsha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani uliofanyika Rome, Italia .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |