Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ahutubia Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula, Makao Makuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) Oktoba 16, 2023 Roma, Italia.
Mheshimiwa Majaliwa anamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo linalofanyika kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023.