Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)
Ndg. Stephen M. Wasira amefanya mazungumzo na Mhe. Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, tarehe 18/2/2025 katika Ofisi ndogo ya makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamebadilishana mawazo katika namna mbalimbali yanayohusu ushirikiano wa nchi ya Tanzania na Korea.