![]() |
Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Vivin Method akizungumza
na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua Mafunzo
kuhusu Upimaji wa Afya yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
![]() |
Kaimu Afisa Lishe wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya jiji
la Dar es Salaam,Bi. Neema Makasege akitoa mada kuhusu kuhusu Lishe na Afya
wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. |
![]() |
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
wakichangia mada kuhusu Lishe na Afya wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika
jijini Dar es Salaam. |
![]() |
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakichangia mada kuhusu Lishe na Afya wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. |