MIUNDOMBINU YA ELIMU ZANZIBAR SASA YALINGANA NA MAHITAJI YA KARNE YA 21

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika kuimarisha mazin...

Latest Post

BREAKING NEWS: Emirates passenger plane crash lands at Dubai International Airport before EXPLODING into flames on the runway

Written By CCMdijitali on Wednesday, August 3, 2016 | August 03, 2016


Emirates passenger jet with 300 on board crash lands at Dubai 

International Airport after catching fire in the air... and 

EXPLODES on the runway
  • The Boeing 777 has crash landed at Dubai International Airport following a flight from Trivandrum in India

  • Dramatic pictures show black smoke coming from the Emirates passenger jet crash landed and burst into flames

  • All flights to the Dubai terminal have since been diverted while all take-offs and landings have been suspended

By Julian Robinson and Isabel Hunter and Jennifer Newton for MailOnline

An Emirates passenger jet has crash landed at Dubai Airport this morning before exploding into a massive fireball on the runway.

Thick black smoke could be seen rising over Dubai International Airport after an Emirates Boeing 777, carrying 282 passengers and 18 crew was forced into an emergency landing at around 12.45pm local time.

There are reports the landing gear for the plane, which had flown from Trivandrum International Airport in India, may not have come down fully prior to touching down. Other reports claimed a fire had started mid-air before landing.

Dramatic footage shows the aircraft exploding in a fireball on the runway, with the force of the blast throwing a huge metal panel from the plane into the air.

Thick black smoke could be seen rising over Dubai International Airport after an Emirates plane carrying 275 passengers was forced in to an emergency landing at around 12.45pm local time. There are reports the landing gear for the plane, which had flown from Trivandrum International Airport in India, may not have come down fully prior to touching down. A pilot who witnessed flight EK521 landing said the plane came in 'really hard' and hit the 'runway tail'. A passenger on another plane said she could see emergency chutes deployed. 

Emergency: An Emirates passenger jet carrying 282 passengers has crash landed at Dubai Airport before bursting into flames
 
Dramatic footage shows the aircraft exploding in a fireball on the runway, with the force of the blast throwing a huge metal panel from the plane into the air
 
A pilot who witnessed flight EK521 landing said the plane came in 'really hard' and hit the 'runway tail' before coming to a halt
 
The Dubai government's official media office said on Twitter that all passengers were 'evacuated safely and no injuries have been reported so far'
 
 Emirates said the flight departed at 10.19am from Trivandrum International Airport and was scheduled to land at 12.50pm at Dubai International Airport

Photographs of the incident showed a plane lying crumpled on its belly on the tarmac with black smoke pouring from its upper section.

Incredibly, all passengers are reported to have been evacuated safely before the plane was engulfed in flames.

The captain is believed to have sent out and emergency signal in the moments before the plane was preparing to land.

A pilot who witnessed flight EK521 landing told NDTV the plane came in 'really hard' and hit the 'runway tail'. A passenger on another plane said she could see emergency chutes deployed.

All flights to the Dubai terminal have been diverted while emergency crews work at the scene. All take-offs and landings have been suspended.

Chris Galusha landed at Dubai Airport just 25 minutes before the plane crash landed, which has caused four to five hours of delays.

‘The board is slowly updating major delays. Cannot see anything from terminal at this time,’ he tweeted MailOnline, alongside a picture of the departure screen showing all flights as delayed.

Pictures show smoke coming from the plane on a runway at the airport. All flights to the Dubai terminal have been diverted while emergency crews work at the scene
 
 Photographs of the incident showed a plane lying crumpled on its belly on the tarmac with black smoke pouring from its upper section

 The Boeing 777 aircraft, departed at 10.19am from Trivandrum International Airport and was scheduled to land at 12.50pm at Dubai International Airport

‘Airport is quiet right now. Calm before storm before people deplane,’ he tweeted.

In one video posted online a woman with a British accent can be heard gasping as she watched from the terminal.

‘Are there people in that plane? Oh my god, the smoke’s getting darker,’ she says.

Emirates said in a statement: 'Emirates can confirm that today, August 3 2016, flight EK521 travelling from Trivandrum International Airport in Thiruvananthapuram, India to Dubai has been involved in an accident at Dubai International Airport. There were 282 passengers and 18 crew on board.

'The Boeing 777 aircraft, departed at 10.19am from Trivandrum International Airport and was scheduled to land at 12.50pm at Dubai International Airport.

'We can confirm that there are no fatalities among our passengers and crew. All passengers and crew are accounted for and safe.

'We are expecting a four-hour network wide delay, more information will be available on the Emirates website and social media channels.'

The Dubai government's official media office said: 'All passengers were evacuated safely and no injuries have been reported so far.

'Concerned Authorities at Dubai International Airport are dealing with the incident at the moment to ensure safety of all.'

Planemaker Boeing said in a statement it was monitoring the situation in Dubai and it would be working with Emirates to gather more information.

 Thick black smoke could be seen rising over Dubai International Airport after an Emirates plane reportedly crashed at around 12.45pm local time

Dubai International is by far the Middle East's busiest airport, and is the world's busiest air hub in terms of international passenger traffic

Meanwhile, the pilot and crew have been roundly praised for landing the plane, with initial reports suggesting the pilot asked the airport for permission for a crash landing.

‘Emirates pilot looks like he expertly landed the 777, and although there was a fire, still was time for pax [sic] to exit, get away,’ Tweeted US-based journalist and aviation blogger Gerry Doyle.

And an Indian journalist for ABP news wrote: 'Passengers on board Emirates flight almost kiss & survive death..Pilot deserves all praises to have managed to save so many lives.'

Also praising the pilot from India, where the flight originated, was Bollywood star Pushkar Jog, who said: ‘Emirates EK521 flight crashes after landing at d Dubai airport . Pilot saved 282 lives ..All passengers safe.’

Dubai International is by far the Middle East's busiest airport, and is the world's busiest air hub in terms of international passenger traffic.

Government-backed Emirates is the region's biggest carrier, and operates the world's largest airline fleet of the wide-body 777 long-haul aircraft.

Ummy Mwalimu azungumza na waandishi wa habari,kuhusu ugonjwa wa ajabu wenye sumu mbaya katika mikoa ya Dodoma na Manyara

Written By CCMdijitali on Tuesday, August 2, 2016 | August 02, 2016

    Imeandikwa na Halima Mlacha - Habari leo

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kulia) akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu ugonjwa wa ajabu wenye sumu mbaya katika mikoa ya Dodoma na Manyara hivi karibuni. Kushoto ni Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Otilia Gowelle. (Picha na Yusuf Badi).


MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA), Shirika la Afya Duniani (WHO) na Kituo cha Uchunguzi wa Magonjwa cha Marekani, katika utafiti wao, wamebaini ugonjwa uliobuka katika mikoa ya Dodoma na Manyara hivi karibuni na kuua watu, unasababishwa na sumu ya kuvu inayoshambulia ini.

Hadi kufikia Julai 31, mwaka huu, jumla ya wagonjwa 54 walisharipotiwa kuathiriwa na ugonjwa huo katika mikoa hiyo na kati yao 14 wameshapoteza maisha sawa na asilimia 20, hali ambayo Serikali imebainisha kuwa ni changamoto kubwa katika afya.

Hayo yalibainishwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu mwenendo wa hali ya ugonjwa huo katika maeneo yaliyoathirika.

Alisema tangu kuibuka kwa ugonjwa huo Serikali ilishirikiana na taasisi zake ikiwemo TFDA, Ofisi ya Mkemia Mkuu pamoja na wadau wa sekta ya kilimo na mifugo, mashirika ya kimataifa ikiwemo WHO na kuuchunguza kwa undani ugonjwa huo.

“Katika uchunguzi wetu tuliangalia nafaka hasa mahindi yaliyokuwa yanatumiwa na jamii iliyoathirika na tulibaini kuwa nafaka hizo zilikuwa zimeharibika kwa kubadilika rangi na kuoza, pia tumegundua jamii hizi, zimekuwa zikihifadhi vyakula kwa mtindo usioridhisha,” alisisitiza Ummy.

Alisema kati ya sampuli 115,52 sawa na asilimia 45 zilionesha kuwa na uchafu wa sumu ya kuvu kwa kiasi kisichokubalika kwa mujibu wa viwango vya kimataifa ambacho ni microgram isiyozidi tano kwa kilo moja ya nafaka.

Alieleza kuwa asilimia kubwa ya sampuli hizo zilipopimwa, zilionekana kuwa na uchafu wa sumu ya kuvu kwa kiwango cha microgram 5.7 hadi 204.5 kwa kilo moja ya nafaka.

“Hiki ni kiwango cha juu sana ikilinganishwa na kiwango kinachokubalika. Kiwango hiki kinafikia kinachoweza kusababisha ugonjwa sumu aflatoxicosis ambao hushambulia zaidi ini,” alisisitiza.

Alisema sampuli nyingine za binadamu, zilipelekwa kwenye maabara ya nje ya nchi jijini Antlanta nchini Marekani, ambapo kati ya sampuli 19 kati ya 24 zilizopelekwa nchini humo zilionyesha kuwa na viwango vya zaidi ya microgram 100 ya sumu ya kuvu.

Aidha Ummy alisema katika utafiti huo, wananchi wengine waliochukuliwa sampuli ingawa bado hawajaanza kuonyesha dalili za ugonjwa huo, nao walionekana kuanza kuathirika taratibu maini yao. Dalili za ugonjwa huo ni kuumwa tumbo, kuharisha, kutapika, tumbo kuvimba na mwili kuwa na rangi ya njano ishara ya ini kuathirika.

Akizungumzia hatua zilizochukuliwa hadi sasa na Serikali kudhibiti maambukizi ya ugonjwa huo, alisema wizara ya afya imeiagiza mamlaka ya TFDA kuendelea kuchunguza zaidi wilaya 10 za jirani na maeneo ili ugonjwa huo usienee.

Aidha alisema Serikali pamoja na kuendelea kutibia wagonjwa walioathirika, waliopo katika hospitali za mkoa wa Dodoma na wilaya ya Kondoa, pia inashirikiana na wadau wa kilimo na mifugo kutoa elimu kwa wananchi juu ya njia sahihi za kuhifadhi na kuandaa chakula.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Hiiti Sillo, alisema alitaja wilaya zilizoathiriwa zaidi na ugonjwa huo katika mikoa hiyo miwili kuwa ni Chemba yenye wagonjwa 38, Kondoa (9), Dodoma manispaa mmoja, Chamwino wawili na Kiteto watatu.

Akizungumzia ugonjwa wa kipindupindu, Ummy alibainisha kuwa bado ugonjwa huo haujadhibitiwa kikamilifu kwani na Dar es Salaam kutoripoti kuwa na mgonjwa wa ugonjwa huo tangu Mei 9, mwaka huu, manispaa ya Temeke jana iliripoti kupokea wagonjwa wapya wanne.

Alisema tangu ugonjwa huo uanze Agosti mwaka jana, jumla ya wagonjwa 22,375 waliripotiwa kuathirika kati yao watu wapatao 345 walipoteza maisha sawa na asilimia 1.5. Jumla ya wagonjwa waopya walioripotiwa wiki hii nchi nzima ni 44.

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA SIKU NNE MIKOA YA SINGIDA, TABORA, SHINYANGA NA GEITA

Written By CCMdijitali on Monday, August 1, 2016 | August 01, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Katoro na Buseresere wakati akielekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita Agosti 1, 2016

7579e735-9ab5-4035-bf45-6dd9c085c1a9Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Chato na Naibu Waziri wa Nishati na Mdini Mhe. Dkt Medard Kalemani baada ya kuhutubia wananchi wa Katoro na Buseresere wakati akielekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita Agosti 1, 2016

601b1aed-2495-4f0f-9e98-068ab5999b42Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na madiwani na viongozi wa Katoro na Buseresere baada ya kuhutubia wananchi wakati akielekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita Agosti 1, 2016

3095ff1c-74f0-4e7b-b1ad-b96479a15c0f


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsabahi mtoto Shabani Kalemani (miezi 8) na mama yake Asha  Simon na kasha kumbeba baada ya kuhutubia wananchi wa Katoro na Buseresere wakati akielekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita Agosti 1, 2016

0f0a8af7-b841-4513-bfc4-0cff7a461a4cRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa kwa furaha kijijini Bwanga  wakati akielekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita Agosti 1, 2016

Balozi Seif Ali Iddi akabidhi vifaa vya Maabara ya Skuli ya Sekondari ya Fujoni

 Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Balozi Seif Ali Iddi akijiandaa kumkabidhi vifaa vya Maabara ya Skuli ya Sekondari ya Fujoni Mwalimu wa Somo la Biology Mwalimu Khalid Hamad Khamis aliyevaa kofia ya kiua akitekeleza ahadi aliyotoa wakatiwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Oktoba Mwaka uliopita.


Msimamizi wa Ujenzi wa jengo la Maabara la Skuli ya Sekondari ya Fujoni Nd. Yasir De Costa wa pili kutoka kushoto akimpatia maelezo Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Balozi Seif  hatua iliyofikia ya ujenzi wa jengo hilo wakati alipofanya ziara ya kulikagua jengo hilo.

Picha na – OMPR – ZNZ.


                                        Press Release:-

Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba kazi ya utekelezaji wa ahadi aliyotoa kwa Wananchi wa Jimbo hilo wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka uliopita itaendelea hatua baada ya hatua ili kukidhi matarajio yao.

Alisema utekelezaji huo una dhamira ya kuwaondoshea kiu waliyonayo Wananchi hao katika kutatua kero pamoja na changamoto mbali mbali zinazowakabili katika maeneo yao wanayoishi.

Balozi Seif alisema hayo wakati akibabidhi vifaa vya Maabara kwa Skuli ya Sekondari ya Fujoni akitekeleza ahadi aliyowapa Wanafunzi, Walimu na Uongozi wa Kamati ya Skuli hiyo vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi Milioni  25,000,000/- za Kitanzania.

Alisema wakati Viongozi na Kamati ya Skuli wakijitahidi kujenga mazingira bora ya Kielimu kazi inayowakabili wanafunzi hao kwa sasa ni kuhakikisha wanajikita zaidi katika kutafuta Elimu kwa lengo la kujijengea hatma njema ya maisha yao ya baadaye.

Mapema Balozi Seif Ali Iddi alipata wasaa wa kukagua Jengo jipya la Maabara aliloligharamia ujenzi wake katika Skuli hiyo ya Fujoni ambalo limefikia hatua nzuri katika kukamilika kwake.

Msimamizi wa Ujenzi wa Jengo hilo Ndugu Yasir De Costa alimueleza Balozi Seif kwamba ujenzi wake umeshakamilika kwa hatua ya awali ikiwemo uwepo wa huduma ya Maji na kilichosaliwa kwa wakati huu ni umakilishaji wa huduma za Umme kwa ajili ya kutumiwa na wanafunzi hao.

Ujenzi wa jengo hilo Jipya la Maabara la Skuli ya Sekondari ya Fujoni unakisiwa kugharimu zaidi ya shilingi Milioni 30,000,000/-.

Fujoni ni miongoni mwa Skuli Tatu za Sekondari  zilizomo ndani ya Jimbo la Mahonda mbayo kutokana na juhudi za Walimu na Kamati ya Skuli tayari imebahatika kuwa na Darasa la Kumi na Nne { Form VI }.




Othman Khamis Ame
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
1/8/2016.

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo azindua kisima cha Maji,Soko la Mrombo,Jijini Arusha.

  • Kisima kina uwezo wa kuzalisha lita 6400 kwa saa moja

  • Naibu Waziri awataka Wananchi kuwa na jukumu la kulinda mradi huo ili kuwa endelevu.

  • Awataka viongozi wa nyanja zote kujibu kero za Wananchi



 NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo ,akiongea na umati wa Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kikiambatana uzinduzi wa  kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.

 Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi)Suleiman Jaffo akizindua kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo ,akisalimiana na baadhi ya wakazi mara baada ya uzinduzi wa  kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.


NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo (kushoto) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mh Mrisho Gambo.


NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mh Mrisho Gambo na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,Calist Lazaro (kushoto)


NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mh Mrisho Gambo na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,Calist Lazaro (kushoto) na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,Athumani Kihamia (kulia)


NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo (katikati) akiwa  na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,Calist Lazaro , Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,Athumani Kihamia (kulia) na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzy Bano (shati la kijani)




Meza kuu viongozi.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli  ,akiongea na umati wa Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo ukiambatana na  uzinduzi wa  kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.


Mkurugenzi wa Taasisi ya Ansaar Muslim Youth Centre akisoma risala kwa mgeni rasmi na viongozi waliombatana na NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemain Jaffo , katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo ukiambatana na uzinduzi wa  kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.




Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Mrisho Gambo ,akiongea na umati wa Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo ukiambatana na  uzinduzi wa  kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.

Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Feruzy Bano akifuatilia jambo kwa makini katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo ukiambatana na  uzinduzi wa  kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.


Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Mrisho Gambo ,akiongea na umati wa Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo ukiambatana na  uzinduzi wa  kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwa ajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar Muslim Youth Centre Tawi la Arusha.


Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Suleiman Jaffo akizungumza kwenye mkutano wahadhara kwenye soko maarufu la Kwamrombo kabla ya kuzindua kisima cha maji kwaajili ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar MuslimYouth Centre tawi la Arusha.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Suleiman Jaffo akizungumza kwenye mkutano wahadhara kwenye soko maarufu la Kwamrombo kabla ya kuzindua kisima cha maji kwaajili ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar MuslimYouth Centre tawi la Arusha.


Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,Calist Lazaro akizungumza kwenye mkutano wahadhara kwenye soko maarufu la Kwamrombo kabla ya kuzindua kisima cha maji kwaajili ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar MuslimYouth Centre tawi la Arusha.












Wananchi wakifurahia hotuba ya Naibu Waziri Jaffo ambaye alitumia mkutano huo kumwagiza Meneja wa Tanesco kuwaunganishia umeme mapema inavyowezekana.
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link