MIUNDOMBINU YA ELIMU ZANZIBAR SASA YALINGANA NA MAHITAJI YA KARNE YA 21
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika kuimarisha mazin...
Latest Post
July 29, 2016
Profesa Sospeter afungua semina ya siku moja kwa Makatibu Wakuu wa Wizara zinahusika na ujenzi wa Bomba la Mafuta na Wakuu wa Mikoa
Written By CCMdijitali on Friday, July 29, 2016 | July 29, 2016
Na Zuena Msuya, Dar Es Salaam
Wizara ya Nishati na Madini imetoa semina ya siku moja kwa Wakuu wa Mikoa ambayo Bomba la Mafuta litapita kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania na Makatibu Wakuu wa Wizara zinahusika moja kwa moja na Ujenzi wa Bomba hilo.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo jijini Dar es salaam, Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter amesema, semina hiyo itawawezesha Viongozi hao kuwa na uwelewa mpana juu ya ujenzi wa bomba hilo pia kushirikiana kwa karibu na kufanikisha kukamilisha mradi wa bomba hilo kwa wakati uliopangwa.
Aidha, amesema endapo wahusika wakuu watafahamu kwa kina mwenendo mzima wa ujenzi bomba la mafuta kutoka Hoima Uganda hadi bandari ya Tanga hapa nchini, hali hiyo itasaidia kutoa elimu zaidi kwa wananchi na hivyo kuondoa changamoto mbalimbali zilizowahi kutokea wakati wa utekelezaji wa miradi mingine mikubwa iliyotangulia.
Profesa Muhongo ametaja baadhi ya Wizara ambazo zina husika moja kwa na ujenzi wa bomba hilo kuwa ni pamoja na Wizara ya Nishati na Madini, Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi,Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi pamoja na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Wizara zingine ni pamoja na Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii.
Mradi wa ujenzi wa Bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania utakuwa Mradi wa tatu kwa Ukubwa nchini Tanzania ukitanguliwa na ule wa Ujenzi wa Bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Tanzania hadi Zambia( TAZARA) na Ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mkoa Mtwara hadi Jijini Dar es salaam.
Bomba hilo litakuwa na urefu wa kilomita 1,443 na upana wa nchi 12, litagharimu shilingi bilioni 3.5 na unatarajiwa kukamilika mwaka 2020.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter akizungumza wakati wakufungua semina siku moja kwa Makatibu Wakuu wa Wizara zinahusika moja kwa moja na ujenzi wa Bomba la Mafuta na Wakuu wa Mikoa ambayo Bomba hilo linapita kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania.
Sehemu ya Makatibu Wakuu wa Wizara zinahusika moja kwa moja na ujenzi wa Bomba la Mafuta na Wakuu wa Mikoa ambayo Bomba hilo linapita kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania wakati wa semina ya siku moja juu ya ujenzi wa bomba hilo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa( kulia) katika mahojiano ya mubashara( live) na Kituo cha Televisheni cha Taifa (TBC 1), na Mtangazaji wa kituo hicho Anna Kwambaza( kushoto)
Na Michuzi blog
Labels:
BIASHARA
July 29, 2016
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMJULIA HALI SPIKA JOB NDUGAI
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMJULIA HALI SPIKA JOB NDUGAI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika jijini Dar es salaam kumsalimia Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi karibuni akitoka India kwa matibabu. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika jijini Dar es salaam kumsalimia Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi karibuni akitoka India kwa matibabu. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. Picha na Ofisi ya Bunge
Michuzi Blog
Labels:
KITAIFA
July 29, 2016

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili katika Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa Manyoni Mkoani Singida mara baada ya kuwasili katika Wilaya hiyo akiwa njiani kuelekea mkoani Singida.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wakazi wa Manyoni mara baada ya kumaliza kuhutubia katika Uwanja wa Shule ya Msingi Tambuka Reli Manyoni Mkoani Singida.

Mbunge wa manyoni Magharibi Yahya Masare akicheza ngoma na kikundi cha Ngoma za asili cha Manyoni kabla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Magufuli kuhutubia mkutano katika Uwanja wa Shule ya Msingi Tambuka Reli Manyoni Mkoani Singida.
Michuzi
Rais Magufuli aanza ziara ya siku nne mikoa minne
Rais Magufuli aanza ziara ya siku nne mikoa minne, aonya watakaothubutu kufanya vurugu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Julai, 2016 ameanza ziara ya siku nne katika mikoa ya Singida, Tabora, Shinyanga na Geita akitokea mkoani Dodoma, ambapo amezungumza na wananchi kwa lengo la kuwashukuru kwa kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana na kueleza juhudi zinazofanywa na serikali katika kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo.
Akiwa Mkoani Singida, Rais Magufuli aliyeongozana na mkewe Mama Janeth Magufuli amewasihi watanzania kufanya kazi kwa juhudi na kujiepusha na vitendo vya vurugu vinavyohamasishwa na baadhi ya wanasiasa huku akionya kuwa serikali yake haitamvumilia mtu yeyote ambaye atathubutu kuchochea vurugu ikiwemo maandamano kinyume cha sheria.
"Sitaki nchi hii iwe ya vurugu, watakaoleta vurugu mimi nitawashughulikia kikamilifu bila huruma, na wasije wakanijaribu, mimi ni tofauti sana na kama wapo watu wanaowatumia wakawaeleze vizuri, mimi sijaribiwi na wala sitajaribiwa.
"Wananchi hawa wana shida. Na siasa nzuri ni wananchi washibe. Siasa nzuri ni wananchi wetu wapate dawa" amesema Rais Magufuli.
Kuhusu hatua mbalimbali zilizochukuliwa na Serikali yake ya awamu ya tano tangu aingie madarakani Rais Magufuli ametaja baadhi ya hatua hizo kuwa ni kufuta ada kwa shule za msingi na sekondari, kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu zaidi ya laki moja na kuongeza fedha za miradi ya maendeleo katika bajeti ya serikali kutoka asilimia 26 ya mwaka 2015/2016 hadi kufikia asilimia 40 katika bajeti ya mwaka huu 2016/2017.
Hatua nyingine ni kuondoa wafanyakazi hewa 12,500 katika orodha ya waliokuwa wanalipwa mshahara na serikali, kudhibiti upotevu wa mapato serikalini, kutenga shilingi Trilioni moja kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Reli ya kati kwa kiwango cha kisasa yaani Standard gauge na pia akazungumzia hatua zilizochukuliwa dhidi ya wala rushwa na wanaojihusisha na ufisadi kwa kuunda mahakama ya mafisadi huku akiapa kuwa katika kipindi chake hakuna fisadi atakayeendelea kutamba.
Akiwa njiani Rais Magufuli amewasalimu wananchi wa Ikungi na baadaye amefanya mkutano wa hadhara Singida Mjini ambako amesisitiza kuwa serikali yake haiko tayari kumvumilia mtu yeyote atakayekwamisha utekelezaji wa Ahadi na Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Singida
29 Julai, 2016

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili katika Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa Manyoni Mkoani Singida mara baada ya kuwasili katika Wilaya hiyo akiwa njiani kuelekea mkoani Singida.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wakazi wa Manyoni mara baada ya kumaliza kuhutubia katika Uwanja wa Shule ya Msingi Tambuka Reli Manyoni Mkoani Singida.

Mbunge wa manyoni Magharibi Yahya Masare akicheza ngoma na kikundi cha Ngoma za asili cha Manyoni kabla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Magufuli kuhutubia mkutano katika Uwanja wa Shule ya Msingi Tambuka Reli Manyoni Mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Ikungi waliomsimamisha wakati akielekea Mkoani Singida. PICHA NA IKULU
Michuzi
Labels:
KITAIFA,
Video Category
July 29, 2016
MAMA SAMIA SULUHU ATEMBELEA TAASISI YA SARATANI (OCEAN ROAD) JIJINI DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kuwa serikali itanunua mashine mbili za kisasa za mionzi kwa ajili ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ambazo zitasaidia kwa kiasi kikubwa utoaji wa matibabu kwa wagonjwa wanaoenda kupata matibabu katika Taasisi hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Sulu Hassan ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza ziara fupi ya kutembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road pamoja na Kumtembelea na kumpa pole Katibu wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Saleh Ramadhani Feruzi ambaye anapatiwa matibabu kwenye Taasisi hiyo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais amesisitiza kuwa mkakati uliopo wa serikali unalenga kuhakikisha kuwa hali ya utoaji wa huduma za afya na dawa kote nchini unaimarika maradufu ili wananchi waweze kupata huduma hizo kwenye maeneo yao kwa ubora unatakiwa.
Kuhusu uhaba wa wahudumu wa afya katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ameuahidi uongozi wa Taasisi hiyo kuwa serikali itahakikisha wahudumu hao wanapatikana katika mwaka wa fedha wa 2016/2017.
Baadhi ya wagonjwa na wananchi wamepongeza utoaji wa tiba katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road na wameomba serikali iendelee kuipatia taasisi hiyo vifaa vya kisasa vya kutolea tiba kama hatua ya kuboresha utoaji wa matibabu kwa wagonjwa wanaokwenda kupata matibabu ya saratani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akimjulia hali Ndugu Calist P. Mushi mkazi wa mkoa wa Kilimanjaro ambaye amelazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza na Katibu wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Saleh Ramadhan Feruzi (katikati) ambaye amelazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akimjulia hali Ndugu Said Mohamed mkazi wa Mafia ambaye amelazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Mkazi huyo wa Mafia alimueleza Makamu wa Rais juu ya ugumu wa upatikanaji wa Dawa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akimjulia hali Bi. Maria Maliseli Boniface wa Kilosa Morogoro ambaye amelazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dk. Diwani Msemo (kulia) wakati wa kutembelea Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza na wananchi waliokuja kuwaona ndugu na jamaa zao ambao wamelazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Wananchi hao walimueleza Makamu wa Rais haja ya kuongezwa kwa mashine za mionzi suala ambalo Makamu wa Rais aliwajibu kuwa zitafungwa mashine mpya mbili katika mwaka huu wa fedha 2016-2017 ilikurahisisha matibabu.
Na Michuzi blog
Na Michuzi blog
Labels:
KITAIFA
July 29, 2016
Katibu wa CCM Wilaya na Ndg Feruzy Bano akiwa na Kada wa Chama cha Kisoshalisti
Katibu wa Siasa na Uenezi Ndg Jasper Kishumbua akiwa na Kada wa Chama cha Kisoshalisti
kutoka nchini Belgian Ndg Lars Meulenbergs katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha.

kutoka nchini Belgian Ndg Lars Meulenbergs katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha.Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha - Ndg Jasper Kishumbua.
Kada wa Chama cha Kisoshalisti kutoka nchini Belgian atembelea Ofisi ya CCM Wilaya ya Arusha .
- Akutana Katibu wa CCM Wilaya na Ndg Feruzy Bano na Katibu wa Siasa na Uenezi Ndg Jasper Kishumbua.
Nia na madhumuni ni kukipongeza Chama Cha Mapinduzi katika kusimamia Amani , Utulivu na Utawala bora ,kuanzia awamu ya kwanza ya Hayati Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere hadi hivi sasa kwa awamu hii tano inayoongozwa na Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dk John Joseph Pombe Magufuli.
Aidha amepongeza utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli katika yale yote aliyofanya na anayoendelea nayo tangu achaguliwe 2015.
Katibu wa CCM Wilaya na Ndg Feruzy Bano akiwa na Kada wa Chama cha Kisoshalisti
kutoka nchini Belgian Ndg Lars Meulenbergs katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha.
Katibu wa Siasa na Uenezi Ndg Jasper Kishumbua akiwa na Kada wa Chama cha Kisoshalisti
kutoka nchini Belgian Ndg Lars Meulenbergs katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha.
Katibu wa CCM Wilaya na Ndg Feruzy Bano akiwa na Kada wa Chama cha Kisoshalisti
kutoka nchini Belgian Ndg Lars Meulenbergs katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha.Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha - Ndg Jasper Kishumbua.
Labels:
ARUSHA
July 29, 2016
Profesa Mbarawa amtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kukamilisha miradi ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akisalimiana na Afisa Uhusiano wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Bi. Edna John wakati alipotembelea ujenzi wa mradi wa nyumba za wafanyakazi eneo la Bunju B jijini Dar es salaam.
Mtendaji Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch.Elius Mwakalinga akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia) kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi wa nyumba za wafanyakazi eneo la Bunju B jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch.Elius Mwakalinga wakati alipokagua ujenzi wa mradi wa nyumba za wafanyakazi eneo la Bunju B jijini Dar es salaam.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akikagua baadhi ya miundombinu iliyopo katika mradi wa ujenzi wa nyumba za wafanyakazi zilizopo Bunju B jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiendelea na ukaguzi wa ujenzi wa mradi wa nyumba za wafanyakazi eneo la Bunju B jijini Dar es salaam.
Meneja Mradi kutoka Wakala wa Majengo Tanzania Arch.Humphrey Killo akifafanua mchoro wa ramani ya ujenzi wa Mabweni ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam katika barabara ya Sam Nujoma,wa kwanza kushoto ni Mtendaji Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch.Elius Mwakalinga .
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch.Elius Mwakalinga wakati alipofanya ziara ya kukagua ujenzi wa Mabweni ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam.

Muonekano wa awali wa ujenzi wa Mabweni ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam.
Muonekano wa nyumba za wafanyakazi eneo la Bunju B jijini Dar es salaam.
PICHA ZOTE NA BENJAMINI SAWE-MAELEZO
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhakikisha wanakamilisha haraka miradi ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma zinazojengwa nchini kote.
Ameyasema hayo mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba za watumishi 851 zilizopo eneo la Bunju "B" ambazo zipo katika mpango wa Wakala wa kujenga nyumba 10,000 kwa ajili ya watumishi wa umma na kuona hatua zilizofikiwa.
Waziri Mbarawa amesema kukamilika kwa ujenzi huo kutawawezesha watumishi wa umma kupata makazi yaliyobora na ya uhakika na hivyo kuiwezesha tba kujipatia marejesho ya fedha walizowekeza kwa wakati.
"Bora mjenge nyumba kidogo lakini zinamalizika kuliko kujenga nyumba nyingi kwa wakati mmoja lakini hazimaliziki", amesema Prof. Mbarawa.
Prof. Mbarawa amewatala TBA kuhakikisha wanamaliza ujenzi wa miradi ya nyumba na majengo kwa wakati na kuziuza ili kupata faida itayowawezesha kujenga nyumba nyingine badala ya kuwa na miradi mingi ya ujenzi ambayo haijakamilika.
Ameitaka TBA kubadilika kimtazamo na kiutaalamu kuanzia watendaji hadi wafanyakazi wake na kuanza kufanya kazi kwa malengo ili kuwezesha kukabiliana na ushindani wa kibiashara wa majengo hapa nchini.
Katika hatua nyingine Waziri Prof. Mbarawa amekagua mradi wa ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam uliopo barabara ya Sam Nujoma ambapo ameridhishwa na kasi ya maendeleo ya mradi huo.
Amewataka wakala huo kuhakikisha wanakamilisha kwa wakati na kwa kuzingatia viwango na ubora vilivyowekwa ili kuweza kuondoa changamoto ya makazi inayowakabili wanafunzi hao.
Kwa upande wake Meneja Miradi wa TBA Arch. Humphrey Killo amesema ujenzi wa mradi wa mabweni ya wanafunzi utahusisha ujenzi wa vyumba 960 vyenye uwezo wa kuchukua jumla ya wanafunzi 3,840 na ujenzi huo utakamilika ndani ya miezi sita.
Naye Mtendaji Mkuu wa TBA Arch. Elius Mwakalinga amemhakikishia waziri kuwa wakala wake utafanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha kwa wakati mradi huo kwa kuwa inayo uwezo wa kiteknolojia wa ujenzi wa miradi ya majengo hapa nchini.
"Kuonyesha kuwa uwezo wa kufanya miradi kama hiyo tunayo, tutaikamilisha kwa wakati na viwango stahili ili wateja wapate thamani ya pesa watakayolipa", amesema Arch. Mwakalinga.
Zaidi ya nyumba 10,000 za makazi ya watumishi wa umma zinatarajiwa kujengwa na kuuzwa katika mradi wa Bunju "B" ikiwa ni mkakaati wa Serikali kuwawezesha watumishi wa umma kupata nyumba bora kwa bei nafuu.

Marais Wastaafu wa Afrika washirki Mkutano Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016 ( African Leadership Forum) jijini Dar
Baadhi
ya Marais Wastaafu wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa
na Wadau mbalimbali kwenye mkutano huo Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016 (
African Leadership Forum) ulioanza leo jijini Dar Es Salaam katika
Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro.Mkutano huo utakaodumu kwa siku mbili
umewajumuisha wadau mbalimbali wakiwemo Mabalozi wa nchi mbalimbali.
Mtoa
mada mkuu wa mkutano wa 'African Leadership Forum' Bw. Sipho Nkosi,
ambaye ni mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti Mstaafu wa Chemba ya
Madini kutoka Afrika Kusini akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano
huo. Bw, Nkosi ni bilionea watatu mweusi anayeongoza kwa utajiri Afrika
Kusini.
Rais
mstaafu wa Afrika Kusini Mheshimiwa Thabo Mbeki akichangia moja ya mada
katika Mkutano Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016 ( African Leadership
Forum) ulio anza leo jijini Dar Es Salaam katika Hoteli ya Hyatt
Kilimanjaro.Mkutano huo utakaodumu kwa siku mbili utawajumuisha wadau
mbalimbali wakiwemo Mabalozi wa nchi mbalimbali.
Rais
Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano akichangia moja ya mada mbalimbali
zilizokuwa zikijadiliwa katika mkutano huo Mkuu wa Uongozi wa mwaka
2016 ( African Leadership Forum) wa
siku mbili,unaondelea hivi sasa katika hoteli Hoteli ya Hyatt
Kilimanjaro,ambapo Mabalozi kutoka nchi mbalimbali pamoja na Wadau
wengine wameshiriki.
Waziri
wakuu wa Wastaafu katika awamu mbalimbali nchni Tanzania,pichani kulia
ni Mh David Cleopa Msuya,Mh John Samuel Malecela pamoja na
Mh.Salim,Ahmed Salim wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano
Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016 ( African Leadership Forum) ulioanza leo
jijini Dar Es Salaam katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro.Mkutano huo
utakaodumu kwa siku mbili umewajumuisha wadau mbalimbali wakiwemo
Mabalozi wa nchi mbalimbali.
Baadhi
ya wafanyakazi wa taasisi ya UONGOZI walioandaa Mkutano MKuu wa UONGOZI
wa 2016 sambamba na Waratibu wa Mkutano huo Kampuni ya MONTAGE wakiwa
katika picha ya pamoja mapema leo asubuhi ndani ya hoteli ya Hyatt
Kilimanjaro ambako ndiko mkutano huo unafanyika.
Mkutano ukiendelea
Baadhi
ya Mabalozi na Wadau wengine wakifuatilia yanayojiri katika mkutano huo
unaoendelea hivi sasa ndani ya hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijni Dar
Baadhi ya Wadau mbalimbali wakifuatilia yanayojiri kwenye mkutano huo.
Labels:
KITAIFA