Home » , » CCM YAVUNJA REKODI UKUSANYAJI MAONI YA KATIBA, JK AZINDUA BARAZA LA WAZEE LA USHAURI

CCM YAVUNJA REKODI UKUSANYAJI MAONI YA KATIBA, JK AZINDUA BARAZA LA WAZEE LA USHAURI

Written By CCMdijitali on Sunday, August 25, 2013 | August 25, 2013


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakiwasili katika viunga vya makao makuu ya chama tawala mjini Dodoma katika sherehe ya uzinduzi wa Baraza la Ushauri la chama hicho

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kwa ikwete akisalimiana na wazee wa baraza la ushauri 

Katibu Mkuu wa CCCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti  kuzindua Baraza. Kushoto ni wajumbe wa baraza hiyo

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwasha king'ora kuzindua Baraza la Ushauri

JK, Dk shein, Pinda na Kinana wakiwa na wajumbe wa baraza la ushauri

Mwenyekiti wa Baraza la wastaafu Alhaj Ali Hassqn Mwinyi akiongoza kikao cha kwanza. Toka kushoto ni Mzee William  Malecelae  na Mhe Amani Abeid Karume. Kulia ni Mzee Benjamin William  Mkapa na Mzee Pius Msekwa  ambaye ni Katibu wa Baraza hilo. Picha na Adam Mzee

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link