Home » , » RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMFARIJI MZEE PHILIP MANGULA KWA KUFIWA NA BINTI YAKE NEMELA

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMFARIJI MZEE PHILIP MANGULA KWA KUFIWA NA BINTI YAKE NEMELA

Written By CCMdijitali on Monday, August 19, 2013 | August 19, 2013

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na viongozi wengine wakiwa katika msiba wa binti wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Mhe Phillip Mangula nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2013. Marehemu Nemela amafariki Jumamosi iliyopita kwa ajali ya gari. mwili wake unatarajiwa kusafirishwa kesho kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Agosti 21, 2013
Waombolezaji wakiwa wamefurika msibani


Baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wenzie marehemu



Sehemu ya wanafunzi wa Chuo Cha Diplomasia ambako marehemu alihitimu hivi karibuni






Kaka wa marehemu na ndugu wengine

Mama Salma Kikwete, Mama Sitti Mwinyi na Mama Esther Sumaye msibani
Rais Kikwete akipitia kitabu cha wasifu wa marehemu na ratiba 
Viongozi wakuu




Msemaji wa kampuni ya kilimo ya Kijani Agro Tanzania LTD ya Dar es salaam,  
Jeneza lenye mwili wa marehemu
Rais wa wanafunzi wa chuo cha Diplomasia akitoa salamu za rambirambi
Mmoja wa wanafunzi wa St. Francis ya Mbeya alikosoma marehemu akitoa salamu

Baadhi ya kinadada waliosoma na marehemu St Francis ya Mbeya

Msemaji wa familia akitoa shukurani kwa waombolezaji
Ni wakati wa sala


Mchungaji akiongoza sala
Jeneza linafunguliwa ili heshima za mwisho zitolewe
Viongozi wastaafu na wa sasa wakiwa msibani
Kwaya ikiimba mapambio
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa pole kwa ndugu wa marehemu

Rais Kikwete akimpa pole kaka wa marehemu
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Profesa Mark Mwandosya alipoenda kumfariji  Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo alipoenda kumfariji  Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 20
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole Mama Mangula alipoenda kuifariji familia ya Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula  kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Kulia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Anne Makinda. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 20
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole dada wa Mzee Philip Mangula alipoenda kuifariji familia ya Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula  kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Kulia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Anne Makinda. Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 20
 Poleni sana jamani....
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula na familia yake kwa kufiwa na binti yake, Nemela Mangula, aliyefariki mwishoni mwa juma kwa ajali ya gari. Anayefuata ni Profesa Mark Mwandosya, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Jordan Rugimbana na Bw. Ali Kikwete  Hapa ni nyumbani kwa Mzee Mangula Oyterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 20

 Nape Nnauye akiweka saini katika kitabu cha maombolezi
 Nape Nnauye akimpa pole Mama Mangula. kulia ni Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda
 Waombolezaji wakimfariji Kaka yake Nemela ambaye
Mshumaa uliozimika ghafla - Nemela Mangula
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link