
Kinana asimikwa kuwa Chifu Machibola katika kijiji cha migato katta ya Migato Wilaya ya Itilima,Katibu Mkuu leo yupo wilaya ya Itilima kukagua na kuimarisha uhai wa Chama na kusimamia Ilani ya Uchaguzi ya CCM.


#Kaziiendelee
Kaulimbiu | Desemba 09,2016“Tuunge mkono jitihada za kupinga rushwa na ufisadi na tuimarishe uchumi wa viwanda kwa maendeleo yetu.”
Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara