Home » » LEO KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA.

LEO KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA.

Written By CCMdijitali on Monday, January 19, 2015 | January 19, 2015


 KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG FERUZ BANO (KUSHOTO) AKISIKILIZA KERO ZA WANACHAMA LEO KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA.
 
KATIBU WA CCM KATA YA TERATI NDG SAIMON AKIWA KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA (KULIA) AKITETA JAMBO NA MJUMBE WA KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG HAROLD ADAMSON.
 KATIBU WA SIASA NA UENEZI KATA YA KATI NDG ZAMZAM (kushoto) MWENYEKITI WA SEREKALI YA MTAA WA BONDENI, KATA YA KATI NDG SIMBA (aliyevaa miwani) AKIFUATIWA NA KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA NDG VICTOR MOLLEL KATIKA OFISI YA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA (hayupo pichani).

VIONGOZI WA JUMUIYA ZA CCM WAKIWAJIBIKA KATIKA OFISI ZAO, LEO.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link