MAKATIBU WA UVVCM TAWI LA KIRIKA NDG ELIZABETH JOSEPH (kulia) NA KATIBU TAWI WA UVCCM TAWI LA OSUNYAI NDG ASIA KIMPINGA (kushoto) WAKIWA KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA LEO.
KATIBU WA UVCCM TAWI LA KIRIKA NDG ELIZABETH JOSEPH AKIWA KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA LEO KWA AJILI YA KIKAO MAALUM NA UONGOZI WA UVCCM NA CHAMA WILAYANI ARUSHA.