Wanachama wa CCM na Wananchi wa Kijiji cha Muembe Majogoo wakiwa katika mkutano wa kutathmini suala la huduma za maji safi katika Kijiji chao wao na Mbunge wao Balozi Seif hayupo pichani hapo kwenye Tawi la CCM Muembe Majogoo.
Mke wa Mbunge wa Jimbo la Kitope Mama Asha Suleiman Iddi akiwapa matumaini ya upatikanaji wa huduma za maji Sadfi na salama wananachi wa Kijiji cha Muembe Majogoo.