Home » » UVCCM KAMATI YA UTEKELEZAJI ARUSHA YAKUTANA.

UVCCM KAMATI YA UTEKELEZAJI ARUSHA YAKUTANA.

Written By CCMdijitali on Saturday, January 17, 2015 | January 17, 2015

 BBADHI YA WAJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UVCCM WILAYA YA ARUSHA ,MARA BAADA YA KIKAO WAKIJADILI JAMBO NA MJUMBE WA KAMATI YA SIASA YA WILAYA NA MMOJAWAPO WA WANACHAMA WALIOTANGAZA NIA YA KUGOMBEA JIMBO LA ARUSHA UBUNGE NDG HAROLD ADAMSON , KULIA KWAKE NI MWENYEKITI WA UVCCM WILYA YA ARUSHA ,NDG MARTIN MUNISSI,NDG SAIDI ALLI, MUTU MARIJANI NA KATIBU WA UVCCM WILAYA YA ARUSHA NDG JAMAL KHIMJI.

 BAADHI YA WAJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI WA UVCCM WAKIWA KATIKA OFISI KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA, MARA BAADA YA KIKAO,

MWENYEKITI WA UVCCM WILAYA YA ARUSHA NDG MARTIN MUNISS (KUSHOTO) NA NDG HAROLD ADAMSON ,MJUMBE WA KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA ARUSHA WAKITETA JAMBO. NDG HAROLD ADAMSON AMBAYE AMEONYESHA  NIA YA KUGOMBEA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA ARUSHA 2015.
Share this article :

+ comments + 3 comments

January 17, 2015 at 6:26 PM

Hongereni sana !!

January 17, 2015 at 9:40 PM

Safi sana mwenezi kazi nzuri sana big up

January 28, 2015 at 11:28 AM

UVCCM Arusha oyeeeeee

Post a Comment
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link