Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akiwaonyesha baadhi ya wake wa viongozi zabibu zilizolimwa kwa kufuata ushauri wa watalamu wa kilimo,zilizolimwa shambani kwa Waziri Mkuu Zuzu nje kidogo ya Dodoma mjini,wakati walipotembelea ili kupata utalaamu wa kulima kilimo cha Zabibu unavyo fanywa.kutoka kushoto ni Mama Malima,Mama Mashiba na Mama Lukuvi.
Mke wa Naibu Waziri wa Fedha,Mama Naima Malima akionyesha utaalamu wake wa kutumia kamera,wakati alipokuwa akimpiga picha Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda (hayupo pichani).Picha na Chris Mfinanga