Home » » ARUSHA MOVIE UNITY YATUA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA LEO.

ARUSHA MOVIE UNITY YATUA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA LEO.

Written By CCMdijitali on Monday, January 26, 2015 | January 26, 2015

 VIONGOZI WA ARUSHA MOVIE UNITY KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BAADHI YA UONGOZI WA CCM WILAYA  (kulia- kushoto) KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG FERRUZI BANO , NDG HUSSEIN SECHONGE - MWENYEKITI WA ARUSHA MOVIE UNITY,BI ANETH P. MOLLEL- MWKT MSAIDIZI ,NDG JASPER KISHUMBUA -KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA CCM WILAYA YA ARUSHA,NDG DISMAS MLANGWA - MJUMBE WA ARUSHA MOVIE UNITY, BI MARY MSUYA - MHASIBU WA ARUSHA MOVIE UNITY NA NDG ISACK CHALO - KATIBU WA ARUSHA MOVIE UNITY, WAKIWA KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA MJINI LEO.
VIONGOZI WA ARUSHA MOVIE UNITY KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BAADHI YA UONGOZI WA CCM WILAYA  (kulia- kushoto) KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG FERRUZI BANO WAKIPEANA MKONO NA  NDG HUSSEIN SECHONGE - MWENYEKITI WA ARUSHA MOVIE UNITY,BI ANETH P. MOLLEL- MWKT MSAIDIZI WAPIENA MKONO NA NDG JASPER KISHUMBUA -KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA CCM WILAYA YA ARUSHA,NDG DISMAS MLANGWA - MJUMBE WA ARUSHA MOVIE UNITY, BI MARY MSUYA - MHASIBU WA ARUSHA MOVIE UNITY NA NDG ISACK CHALO - KATIBU WA ARUSHA MOVIE UNITY, WAKIWA KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA MJINI LEO.
  KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG FERRUZI BANO AKIONGEA NA VIONGOZI  WA ARUSHA MOVIE UNITY KUHUSU MAADHIMISHO YA SHREHE ZA CCM KUTIMIZA MIAKA 38  KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA MJINI LEO.

 BI ANETH P. MOLLEL- MWKT MSAIDIZI WA ARUSHA MOVIE UNITY YA JIJINI ARUSHA, PIA AMBAYE ALIWAHI KUTEULIWA NA MIONGONI MWA 10 BORA KATIKA TAMASHA LA TANZANIA MOVIE TALENTS LILILOFANYIKA 2014 ,AUGUST.
 KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG FERRUZI BANO AKIONGEA NA VIONGOZI  WA ARUSHA MOVIE UNITY KUHUSU MAADHIMISHO YA SHREHE ZA CCM KUTIMIZA MIAKA 38  KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA MJINI LEO.

VIONGOZI WA ARUSHA MOVIE UNITY KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BAADHI YA UONGOZI WA CCM WILAYA  (kulia- kushoto) KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG FERRUZI BANO , NDG HUSSEIN SECHONGE - MWENYEKITI WA ARUSHA MOVIE UNITY,BI ANETH P. MOLLEL- MWKT MSAIDIZI ,NDG JASPER KISHUMBUA -KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA CCM WILAYA YA ARUSHA,NDG DISMAS MLANGWA - MJUMBE WA ARUSHA MOVIE UNITY, BI MARY MSUYA - MHASIBU WA ARUSHA MOVIE UNITY NA NDG ISACK CHALO - KATIBU WA ARUSHA MOVIE UNITY, WAKIWA KATIKA OFISI ZA CCM WILAYA YA ARUSHA MJINI LEO.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link