Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under The Sun Tanzania Vicky Ntetema (kulia) , akifafanua jambo wakati Mwenyekiti huyo alipo tembelea kituo hicho
Afisa utetezi Kondo Seif (wa kwanza kushoto) akitolea malezo ukosefu wa rangi asili mwilini ambayo huathiri rangi ya mwili kwa maana ya ngozi ,macho na nywele na kukosekana kwa melani mwilini, miongoni mwa athari zake ni wepesi wa kuungua na Jua unapotembea juani na ufanyapo kazi juani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under The Sun Tanzania Vicky Ntetema (kulia) akimuonyesha Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (kushoto) Picha ya mtoto alie tekwa akiwa mgongoni mwa mama yake wa pili kushoto ni Mama mzazi wa Sitti.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under The Sun Tanzania Vicky Ntetema (kulia) akimuonyesha Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (kushoto) Picha ya Wazazi walio zaa mtoto mwenye albinizim ambao kwa pamoja wameamua kumlinda na kumlea kwa pamoja . kushoto ni Mama wa Sitti.
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvuakimvisha kofia Mariam Staford.
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu, akiangalia picha .
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under The Sun Tanzania Vicky Ntetema (kulia) akimkabidhi Kofia na kitita cha Sh. Laki 3 .
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu, katika picha ya pamoja
Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu (wa tatu kulia) akimkabidhi vifaa vya kuhifadhia taka Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa zungu (kushoto), kwa ajili ya Hospitali ya Mkoa wa Ilala Dar es Salam. kuanzia kushoto nyuma ya mbunge ni Diwani wa kata ya Kinyerezi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Leah Mgitu katikati ni mama mzazi wa Sitt Mariam Mtemvu, wa kwanza kulia ni Diwani wa Kata ya Ilala kupitia Chama cha Mapinduzi Edson Fungo na anae fatia ni Daktari Kiongozi wa Hospitali ya Mkoa Ilala
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa zungu akiongea na Waandishi wa Habari ( pichani hawapo) mara baada ya kupokea vifaa mbalimbali vya kuhifadhia taka na Sabuni.
Mama mzazi wa Mtoto akiwa amelazwa katika Hospitali hiyo na mwanae Hassan Idd (3) akipokea Sabuni Toka kwa Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu alipo tembelea Hospitalini hapo.
Amina Rashidi akiwa amelazwa katika Hospitali hiyo na mwanae Warda Abasi (9) akipokea Sabuni Toka kwa Mwenyekiti wa Sitti Tanzania Faundation, Sitti Mtemvu alipo tembelea Hospitalini hapo.