Home » » RAIS DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE AHANI MSIBA WA MFALME WA SAUD ARABIA.

RAIS DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE AHANI MSIBA WA MFALME WA SAUD ARABIA.

Written By CCMdijitali on Tuesday, January 27, 2015 | January 27, 2015


Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa mkono wa pole kwa watawala na familia mjini Riyadh, Saudi Arabia Jumapili, Januari 25, 2015,alipofika kuhani kuhani kifo cha 
Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud 
aliyefariki Alhamisi na kuzikwa Ijumaa ya wiki iliyopita. Baada ya kuhani msiba wa Mfalme Abdullah, Rais Kikwete ameendelea na safari yake kwenda nchi za Ujerumani na Ufaransa kwa ziara za kikazi. 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Fawzia Rasheed,Mkuu wa Sera wa Global Alliance for Vaccines and Immunization (Gavi Alliance) alipotua mjini Berlin, Ujerumani, 
leo Jumatatu 26, 2015
kuungana na viongozi mbali mbali duniani kujadili jinsi ya kuboresha mipango ya utoaji chanjo kwa watoto wadogo hasa katika nchi zinazoendelea.

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link