Home » » RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE NA MKEWE WAWASILI MAPUTO USIKU HUU KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS MPYA WA MSUMBIJI MHE.FILIPE NYUSI KESHO

RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE NA MKEWE WAWASILI MAPUTO USIKU HUU KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS MPYA WA MSUMBIJI MHE.FILIPE NYUSI KESHO

Written By CCMdijitali on Wednesday, January 14, 2015 | January 14, 2015


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Maputo usiku huu kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Msumbiji Mhe.Filipe Nyusi kesho mjini Maputo. 

Mhe. Nyusi anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Rais Armando Emilio Jacinto  Guebuza anayemaliza muda wake.  

Picha na Freddy Maro

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link