Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM-NEC), Ridhiwani Kikwete akitoa salamu za CCM, wakati wa mazishi ya, aliyekuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, marehemu Christian Fwalo ambaye alikuwa akiwakilisha mkoa wa Iringa mwaka 2007-2012, katika makaburi ya Kijiji cha Ihalula, mkoani Njombe juzi. Fwalo pia alikuwa mgombea wa NEC, ili kuziba pengo la marehemu Lupyana Fute aliyefariki mwak jana. (NA MPIGAPICHA MAALUMU)
Home »
» RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MJUMBE WA UNEC, NJOMBE