Home » » SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR

SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR

Written By CCMdijitali on Tuesday, January 13, 2015 | January 13, 2015

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein kwa hotuba yake nzuri aliyoitoa kwenye maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofanyika  leo Januari 12, 2015 kwenye uwanja wa Amani,Zanzibar.

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akiwasili kwenye uwanja wa Aman tayari maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, 2015.
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akipokea salamu za kijeshi mara baada ya kuwasili kwenye uwanjwa wa Aman tayari maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, 2015.
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akikagua gwaride la vikosi mbali mbali vya kijeshi wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofanyika  Januari 12, 2015 kwenye uwanja wa Amani,Zanzibar.

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akihutubia wananchi wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofanyika Januari 12, 2015 kwenye uwanja wa Amani,Zanzibar.













































Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link