Home » » VIJANA 500 (UVCCM) WA MIKOA YA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA WASHIRIKI MATEMBEZI YA MAPINDUZI

VIJANA 500 (UVCCM) WA MIKOA YA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA WASHIRIKI MATEMBEZI YA MAPINDUZI

Written By CCMdijitali on Sunday, January 11, 2015 | January 11, 2015

 Baadhi ya vijana 500 wa Chama cha Mapinduzi wakiwa wameshika picha za waasisi wa Tanzania na Marais wa Sasa katika matembezi ya siku tatu kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika eneo la Rahaleo.
 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mhe. Mboni Mhita akiongoza matembezi ya siku tatu ya Vijana mia tano kutoka mikoa mbali mbali ya Zanzibar na Tanzania bara kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambapo vijana hao walitembea mikoa yote mitatu Unguja.
Vijana 500 wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika matembezi ya siku tatu kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika eneo la Rahaleo.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link