Waumini hao walipigana vikumbo kumpiga picha na simu zao.
Home »
ARUSHA
» WAZIRI MKUU WA MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI MH EDWARD LOWASSA ASALIMIANA NA WANANCHI BAADA YA KUSIMIKWA UASKOFU MCHUNGAJI SOLOMON JACOB MASANGWAJIJINI ARUSHA
WAZIRI MKUU WA MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI MH EDWARD LOWASSA ASALIMIANA NA WANANCHI BAADA YA KUSIMIKWA UASKOFU MCHUNGAJI SOLOMON JACOB MASANGWAJIJINI ARUSHA
Written By CCMdijitali on Sunday, January 11, 2015 | January 11, 2015
Waziri Mkuu wa mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akisalimiana na mamia ya waumini wa kanisa la KKKT Kimandolu jijini Arusha baada ya Ibada ya kusimikwa uaskofu mchungaji Solomon Jacob Masangwa kuwa Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini Kati siku ya Jumamosi
Labels:
ARUSHA