Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda akiwapungia wananchi wa Halmashauri ya Nsimbo wilayani Mlele baada ya
kuwasili kwenye viwanja vya Halmashauri hiyo kuhutubia mkutano wa hadhara akiwa
katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi Januari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanawake wa
Nsimbo wakati alipowasili kwenye viwanja vya Halmashauri hiyo kuhutubia
mkutano wa hadhar akiwa katika ziara ya jimbi lake la uchaguzi Januari7, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).