Home » , » Hotuba ya Mwalimu Nyerere, Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma - 1995

Hotuba ya Mwalimu Nyerere, Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma - 1995

Written By CCMdijitali on Monday, April 6, 2015 | April 06, 2015

Julius Nyerere the former first president of Tanzania in the 1950s to the 1980s 

The Tanganyika African National Union (TANU) was the principal political party in the struggle for sovereignty in the East African state of Tanganyika (now Tanzania). The party was formed from the Tanganyika African Association by Julius Nyerere in July 1954 when he was teaching at St. Francis' College (which is now known as Pugu High School).

 From 1964 the party was called Tanzania African National Union. In January 1977 the TANU merged with the ruling party in Zanzibar, the Afro-Shirazi Party (ASP) to form the current Revolutionary State Party or Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 The policy of TANU was to build and maintain a socialist state aiming towards economic self-sufficiency and to eradicate corruption and exploitation, with the major means of production and exchange under the control of the peasants and workers (Ujamaa-Essays on Socialism; "The Arusha Declaration").

Julius Nyerere is a former first president of Tanzania in the 1950s to the 1980s after he started the TANU. In 1962, the TANU and current president Julius Nyerere created the Ministry of National Culture and Youth. Nyerere felt the creation of the ministry was necessary in order to deal with some of the challenges and contradictions of building a nation-state and a national culture after 70 years of colonialism.

The government of Tanzania sought to create an innovative public space where Tanzanian popular culture could develop and flourish. By incorporating the varied traditions and customs of all peoples of Tanzania, Nyerere hoped to promote a sense of pride, thus creating a national culture.




 WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO 
Kauli hii iliwahi kutolewa katika hotuba ya Mwalimu  Julius K. Nyerere katika  Mkutano Mkuu Wa CCM –Dodoma Mwaka 1995.
Mwalimu alisema, nanukuu :

" Watanzania wanataka mabadiliko,wasipoyapata ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM."

Lengo kuu la hotuba hii ilikuwa ni kuwaasa wana CCM  katika mkutano huo ili wachague mgombea ambaye atakidhi matarajio ya wananchi,na sio ya wana CCM. Ni ukweli usiopingika kuwa ile ari ya kutaka mabadiliko miongoni mwa watazania bado ipo na inazidi kukua,siku hadi siku,  mwaka hadi mwaka.

Katika hili nashauri kuwa: Kwa nafasi ya mgombea wa uraisi, ni vema sana CCM ikamsimamisha mgombea wa uraisi SAFI, asiye na DOA, na mwenye uwezo wa kuunda serikali ADILIFU ambayo itawatumikia wananchi na ambayo haitakumbwa na madudu kama hayo.


Mwalimu Nyerere katika  mkutano huo wa CCM –DODOMA (1995) alisema, CCM bado hakijawa chama cha matajiri.  Lakini, ni ukweli usiopingika kuwa CCM kinaelekea kuwa Chama Cha Matajiri. Watu wenye uwezo wa kutoa chochote kwa kuwarubuni wajumbe katika chaguzi za ndani ya chama ndio wenye nafasi kubwa ya kuteuliwa na chama kwa ajili ya kugombea. 

Urubunifu huo hufanywa na wenye fedha hao kwa kujipenyeza katika  makundi fulanifulani ya wamama au vijana  na kutoa misaada mbalimbali kwa kujifanya ni watu  wenye nia njema,  lakini muda si mrefu watu hao hutangaza kugombea. 

Hii ni rushwa ya kabla ya uchaguzi, na rushwa hupofusha macho. 

Lakini,muda si punde, watu wa jinsi hiyo wakishachaguliwa,hudhihirisha makucha yao kwa kutokomea kusikojulikana mpaka kipindi kingine cha uchaguzi ambapo hurudi tena kwa kasi na mafungu makubwa ya fedha, tayari kwa urubunifu mwingine.

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link