Wa kwanza kulia ni Katiobu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Dr. Khalid Salum Moh’d, wa mwanzo kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Ufundi ya Tumu ya Ofisi ya Makamu wa Pili Tajo Hassan na Mwenyekiti wa Timu Haroub Gharib Bilal.
Mwanamichezo Maarufu Moh’d Raza akimkabidhi seti ya Jezi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Balozi Seif wa Pili kutoka kulia akimpongeza Mwanamichezo Moh’d Raza kwa juhudi za Uongozi wa Kampuni yake ya Hassan and Son’s za kusaidia sekta ya michezo hapa nchini.
Balozi Seif akiziwashilisha Jezi kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar mara baada ya kukabilidhiwa na Mwanamichezo Maarufu Nchini Moh’d Raza.