MALENGO YAKE:
- Kuimarisha Muungano
- Kukomesha matumizi mabaya ya Siasa
- Kujenga Uchumi imara utakaomnufaisha kila Mtanzania
- Kuondokana na sifa mbaya ya kuwa Taifa ombaomba
- Kujenga mfumo mpya wa Elimu,Ajira
- Kuhakikisha ukuaji wa uchumi unaenda huduma za kijamii.
Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa akihutubia wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini arusha, wakati akitangaza nia ya kugombea urais.
Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa akihutubia wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini arusha, wakati akitangaza nia ya kugombea urais.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Onesmo Nangole akiwasalimia wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, wakati akimkaribisha Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa kuhutubia na kutangaza nia ya kugombea Urais.
katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Capriano kwa jina maarufu "Kadogoo" akiwasalimia wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, na kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Onesmo Nangole ili kumkaribisha Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa kuhutubia na kutangaza nia ya kugombea Urais.
Askofu Solomon Masangwa wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Kaskazini Kati (KKKT) akifanya maombi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Askofu Solomon Masangwa wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Kaskazini Kati (KKKT) akifanya maombi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha, wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Safari