Home » » Mustapha Panju,Wakili Ngemela na Victor Njau warudisha fomu CCM Arusha leo.

Mustapha Panju,Wakili Ngemela na Victor Njau warudisha fomu CCM Arusha leo.

Written By CCMdijitali on Friday, July 17, 2015 | July 17, 2015

Waliorudisha fomu leo ni :

  1. Wakili wa kujitegemea Ndg Edmund R. Ngemela
  2. Mfanyabishara Jijini Arusha Ndg Mustafa Panju
  3. Wakili  Victor Njau
  4. Idadi ya waliochukua yafikia 11 leo.
Pia wamo wa Viti Maalumu kupitia Jumuiya ya UWT Bi Ritha T. Massawe wa Kata ya Daraja II.

Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju na Wakili maarufu wa kujitegemea Jijini Arusha Ndg Edmund R Ngemela wakisalimiana walipokutana wakati wote wawili wakirudisha  fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi. 
 Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Bano akikagua   fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya Wakili maarufu wa kujitegemea Jijini Arusha Ndg Edmund R Ngemela kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi .
 Wakili maarufu wa kujitegemea Jijini Arusha Ndg Edmund R Ngemela akiwasilisha   fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Bano.
 Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju akiwasili katika viwanja vya CCM Wilaya ya Arusha  kurudisha  fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi.
 Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju mara baada ya kuwasili katika viwanja vya CCM Wilaya ya Arusha  kurudisha  fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo akiteta jambo na mmoja wa rafiki wa karibu katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi. 
 Ndg ,Jamaa na marafiki wa  wakimsindikiza Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju  kurudisha  fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo akiteta jambo na mmoja wa rafiki wa karibu katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi.
 Ndg ,Jamaa na marafiki wa  wakimsindikiza Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju  kurudisha  fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo akiteta jambo na mmoja wa rafiki wa karibu katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi.


 Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju akiwasilisha   fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Bano.
Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju akisaini fomu maalumu ya kuonyesha kuwa amerudisha fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi . 
 Marafiki wa karibu wa Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju wakishuhudia tukio la kuwasilisha   fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi .
Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju mara baada ya kuwasilisha   fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi akipokea maelekezo ya hatua zinazofuta kutoka kwa  Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Bano. 

 Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafamilia waliofuatana naye kuwasilisha   fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi .

 Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake wa karibu mara baada ya kuwasilisha   fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi .

 Baadhi ya Wafanayakazi wa Bush Buck safaris Ltd ya Jijini Arusha wakiwa katika picha Mke wa  Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju mara baada ya kuwasilisha   fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi.
 Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju akiwa katika gari walilokuja nalo kuwasilisha   fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi .
Mwandishi wa habari akifuatilia habari za urudishwaji na upokeaji fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi .

 Mfanya biashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha Ndg Mustapha Panju akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi waliokuwepo  mara baada ya kuwasilisha   fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi .

Waandishi wa habari wa Jijini Arusha kutoka Kampuni ya Milan Cable Television. 


 Katibu wa Hamasa UVCCM Kata ya Daraja II Bi Ritha Massawe ,akipokea fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Udiwani Viti Maalum Kata ya Daraja II kupitia UWT (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za UWT Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha .
Bi Ritha akiwa katika pozi na uso wa tabasamu mara baada ya kukamilisha taratibu na kupewa fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Udiwani Viti Maalum Kata ya Daraja II kupitia UWT (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za UWT Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha .

 Wakili wa kujitegemea Jijini Arusha Ndg Victor Njau  akiwasilisha   fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Bano.

Wakili wa kujitegemea Jijini Arusha Ndg Victor Njau  akisaini fomu maalumu mara baada kuwasilisha   fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi . 

Mmoja wa wapenzi na shabiki wa Ndg Njau kwa jina maarufu Bi Mario wa Jijini Arusha akishuhudia makabidhiano ya uwasilishaji  fomu ya kuomba Kugombea Kiti cha Ubunge (CCM) Jijini Arusha leo katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha , mara baada ya kukamilisha taratibu kwa mujibu wa taratibu za Chama Cha Mapinduzi.
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link