Alhaji Hamisi Saidi akisalimiana na Ndg Mahmoud S. Omary na Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa kupitia CCM Mtaa wa Osterbay tayari kwa kuanza safari ya Mikutano ya Kampeni kwa ajili ya kura za maoni zaanza rasmi leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha .
Ndg Swalehe Kiluvia , Ndg Mahmoud S. Omary na Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa kupitia CCM Mtaa wa Osterbay na Alhaji Hamisi Saidi katika picha ya pamoja leo asubuhi tayari kwa kuanza safari ya Mikutano ya Kampeni kwa ajili ya kura za maoni leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha .
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akisalimiana na Ndg Mustapha Panju mfanyabiashara maarufu wa Utali Jijini Arusha katika picha leo asubuhi tayari kwa kuanza safari ya Mikutano ya Kampeni kwa ajili ya kura za maoni leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha .
Ndg Werango E Munisi kwa jina maarufu Thomasi , Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua na Ndg Mustapha Panju mfanyabiashara maarufu wa Utalii Jijini Arusha katika picha leo asubuhi tayari kwa kuanza safari ya Mikutano ya Kampeni kwa ajili ya kura za maoni leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha .

Alhaji Hamisi Saidi ,Ndg Swalehe Kiluvia na Ndg Mosses Mwizarubi wakiwa katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha tayari kwa kuanza safari ya Mikutano ya Kampeni kwa ajili ya kura za maoni leo 20/07/2015 kama ilivyoelekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha .
Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua
Mwendelezo wa habari,matukio na picha zitafuatia baadaye......