Kikwete Bridge at Malagarasi River
Dodoma University
Highway T1 Dar es Salaam-Morogoro
JOHN POMBE Magufuli :
Chini ya Uongozi wa Ccm tumeshuhudia ilani ya CCM ikitelezwa kwa asilimia zaidi ya 89.Hili ni jambo jema sana. Yapo mengi ya kufurahia kwenye ilani yetu ambayo wananchi talkingia nayo mkataba.
Nafarijika zaidi kwa kuendelea vema kwa ujenzi wa daraja la kigamboni.
Chini ya Uongozi wa mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete nchi imeendelea kuwa na amani, imeendelea kuwahudumia wananchi wake kwa ufanisi mkubwa zaidi, ila la kujivunia zaidi ni Uongozi ulioheshimu utawala wa sheria, na utawala bora
Utawala bora umesaidia kuwa na mambo yafuatayo:
- Matumizi mazuri ya rasilimali za nchi,
- Maendeleo endelevu,
- Kupungua kwa umasikini, ujinga na maradhi,
- Kutokomea kwa rushwa,
- Huduma bora za jamii,
- Amani na utulivu,
- Kuheshimiwa kwa haki za binadamu,
- Utatuzi wa migogoro kwa mujibu wa sheria na taratibu,
- Kuleta ustawi wa wananchi.
Wanaccm tembeeni kifua mbele vipo vya kuwaeleza wananchi na imani ya wananchi kwa CCM bado ni kubwa.