Home » » JENERALI SARAKIKYA AZAWADIWA NA RAIS KIKWETE

JENERALI SARAKIKYA AZAWADIWA NA RAIS KIKWETE

Written By CCMdijitali on Sunday, September 13, 2015 | September 13, 2015

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi zawadi ya gari Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mzalendo Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya wakatiu wa hafla ya kuwatunuku kamisheni maafisa wapya wa jeshi katika Chuo cha Monduli jana.

Kushoto ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.Jenerali Sarakikya amekabidhiwa zawadi hiyo kwa kutambua mchango wake mkubwa kwa kujenga misingi imara ya jeshi la
Wananchi wa Tanzania lenye weledi na nidhamu ya hali ya juu
(picha na Freddy Maro)
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link