ASUBUHI Sept 12,2015, MWANDISHI AMBAYE PIA NI MPIGAPICHA WA MAGAZETI YA UHURU,
MZALENDO NA BURUDANI YANAYOCHAPISHWA NA KAMPUNI YA UHURU PUBLICATIONS,CHRISTOPHER LISSA,
MZALENDO NA BURUDANI YANAYOCHAPISHWA NA KAMPUNI YA UHURU PUBLICATIONS,CHRISTOPHER LISSA,
ALIPATA TAARIFA ZA MAANDAMANO YA WALIOTAJWA KUWA WAFUASI WA
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) WALIOKUWA WAMEKUSUDIA KUANDAMANA KWENDA MAKAO MAKUU YA CHAMA CHAO.
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) WALIOKUWA WAMEKUSUDIA KUANDAMANA KWENDA MAKAO MAKUU YA CHAMA CHAO.
LISSA ALIMFAHAMISHA MHARIRI WAKE JUU YA TAARIFA HIZO, AMBAPO MHARIRI
ALIMTAKA KUFUATILIA TUKIO HILO.
MWANDISHI HUYO ALIONDOKA OFISINI SAA 2:50 ASUBUHI MPAKA KINONDONI
ENEO AMBAKO WAANDAMANAJI WALIKUWA
WAMEPANGA KUANZIA MAANDAMANO YAO.
WAANDAMANAJI WALICHELEWA KUFIKA ENEO TAJWA NA ILIPOTIMU SAA 5.00
NDIPO WALIFIKA WAKIWA KWENYE BASI NA KUSHUKA KUANZA MAANDALIZI YA
MAANDAMANO HUSIKA.
WAANDAMANIJI HAO WALIANZA MAANDAAMO MUDA MFUPI BAADAYE KUELEKEA
OFISI ZA MAKAO MAKUU YA CHADEMA ZILIZOPO MTAA WA UFIPA, KINONDONI.
HUKU WAKIWA NA MABANGO YALIYOKUWA NA UJUMBE TOFAUTI AMBAPO MWINGI
ULIKUWA UKIKEMEA KITENDO CHA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA,
EDWARD LOWASSA, KUTUMIA
UDINI KUOMBA KURA KANISANI. ITAKUMBUKWA KWAMBA LOWASSA ALIOMBA KURA HIVI KARIBUNI ALIPOKUWA MJINI TABORA,
UDINI KUOMBA KURA KANISANI. ITAKUMBUKWA KWAMBA LOWASSA ALIOMBA KURA HIVI KARIBUNI ALIPOKUWA MJINI TABORA,
AMBAPO ALIFANYA HIVYO KATIKA KANISA LA KILUTHERI.
BAADA YA KUNDI HILO LA WAANDAMANAJI KUFIKA, LILIKWENDA MOJA KWA MOJA
HADI KATIKA MLANGO WA KUINGIA KWENYE OFISI ZA CHAMA HICHO, AMBAPO MWANDISHI WETU ALIANZA KUTEKELEZA JUKUMU LAKE AKIWA NA WAANDISHI WENGINE.
HATA HIVYO KATIKA HALI YA KUSHANGAZA LISSA PAMOJA NA WAANDISHI
WENZAKE WA HABARI, WALIKAMATWA NA WALINZI WA CHAMA HICHO,
AMBAPO WENZAKE WALIACHIWA
BAADA YA KUJITAMBULISHA KUWA WANATOKA VYOMBO VYA HABARI.
BAADA YA KUJITAMBULISHA KUWA WANATOKA VYOMBO VYA HABARI.
LAKINI CHA KUSHANGAZA LISSA ALIPOJITAMBUSHA KUWA ANATOKA
GAZETI LA UHURU NDIPO WALIPOSEMA KWAMBA ‘HUYU NDIYE TULIYEKUWA TUNAMTAFUTA’ NA KUANZA KUMPIGA KWA NGUMI MAGONGO NA VYUMA NA KUMSABABISHIA MAJERAHA NA KUHARIBU KAMERA, HUKU WAKIMPORA SIMU YAKE YA MKONONI NA ‘WALLET’ ILIYOKUWA NA JUMLA YA SH. 80,000.
AIDHA ALIPOKUWA AKIPIGWA WAHUSIKA WALISIKIKA WAKISEMA TUWASUBIRI
WAKUBWA NA MUDA MFUPI BAADAYE ALIINGIA MSEMAJI WA CHAMA HICHO, BONIFASCE MAKENE, DIWANI WA UBUNGO CHADEMA, AMBAYE
PIA ANATUHUMIWA KUMSHAMBULIA MLINZI WA DK. WILLIBROD SLAA, MUDA HUO HUO PIA ALIPITA MHE. JOHN MNYIKA ALIYEKUWA NA
KIKAO NA WAANDISHI WA HABARI.
KWA MUJIBU WA MWANDISHI LISSA ALIYEELEKEZA NA KUMUINGIZA KWENYE CHUMBA CHA MATESO NI DIWANI HUYO WA UBUNGO AKIWA PAMOJA NA WALINZI WENGINE AMBAO WALIKUWA WAKIMPIGA.
AKIWA KATIKA CHUMBA HICHO ALIENDELEA KUPIGWA NA BAADAYE ALIPEWA KADI
ZA CHADEMA NA KUANZA KUSHURUTISHWA KUSHIKA HIZO KADI NA ATAMKE MBELE YA KAMERA YA VIDEO ILIYOKUWA IKIMREKODI KWAMBA YEYE AMETUMWA NA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), ABDULRAHMAN KINANA NA VIONGOZI WA CCM KUANDAA MAANDAMANO HAYO,
AMBAPO PAMOJA NA KUSHURUTISHWA HUKO ALIKATAA NA KUSHIKILIA MSIMAMO WAKE KWAMBA ALIKUWA AKITETEJELEZA MAJUKUMU YAKE YA UANDISHI WA HABARI NA SI VINGINEVYO.
WAKIWA WANAAENDELEA KUMSHURUTISHA GHAFLA WALIINGIA POLISI NA WATEKAJI
WALISTUKA NA KUMWELEZA ASISEME KWAMBA ALIKAMATWA NA YUKO NDANI, HIVYO WALIMTOA NA KUTOKA NAYE NJE PAMOJA NA WATU WENGINE HUKU AKILINDWA NA WALINZI WA CHADEMA.
POLISI WALIPOFIKA NA KUOMBA KUFANYA UPEKUZI KUTOKANA NA TAARIFA ZA KUWEPO MWANDISHI WA UHURU, ANAYESHIKILIWA NDANI YA OFISI, WALIRUHUSIWA KUFANYA HIVYO HUKU LISA AKIWA NJE NA WALINZI WA CHADEMA WALIOMTAKA KUTOJITAMBULISHA AU KUSEMA CHOCHOTE WAKATI POLISI WAKIWEPO ENEO HILO.
BAADA YA POLISI KUONDOKA WALISIKIA WAKISEMA KWAMBA ‘DILI’ YETU
HAIJAFANIKIWA NA KUINGIA NAYE NDANI TENA NA KUMWELEZA MNYIKA ALIYEKUWA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KWAMBA WAMEMKAMATA MWANDISHI WA UHURU AMBAYE
NI MUANDAAJI WA MAANDANAMO HAYO.
BAADA YA KUPATA TAARIFA HIYO, MNYIKA ALIWAAMBIA WAANDISHI WA HABARI
WAKATI HUO LISA AMBAYE ALIOKUWA AMESHIKISHWA KADI NYINGI ZA CHADEMA ,
ALISHURUTISHWA KUSEMA KWAMBA NDIYE ALIYEANDAA MAANAMANO HAYO NA KWAMBA ASIPOSEMA HIVYO HATATOKA MZIMA.
PAMOJA NA VITISHO HIVYO, LISSA ALIKATAA NA KUSHIKILIA MSIMANO WAKE
KWAMBA ALIFIKA ENEO HILO KUFANYA KAZI YAKE YA UANDISHI WA HABARI NA SI VINGINEVYO.
BAADHI YA WAANDISDHI WALISIKIKA WAKISEMA KWANINI MWENZAO ALIKUWA AKISHURUTISHWA KUSEMA MANENO HAYO.
WALINZI HAO WAONEKANA KUKIRI KWAMBA ZOEZI LAO LIMESHINDIKANA NA WENGINE WALITAKA APIGE NA HADI KUFA ILI KUPOTEZA USHAHIDI, LAKINI WENGINE WALIGOMA WAKISEMA HAPO NI MAKAO MAKUU YA CHAMA.
BAADA YA KUTOFAUTIANA WENYEWE KWA WENYWE WALIMRUHUSU LISSA AONDOKE NA NDIPO ALIPOONDOKA NA GARI LILILOKUWA NA WAANDISHI WA HABARI WA AZAM MOJA KWA MOJA KWENDA KITUO CHA POLISI, OYSTERBAY AMBAKO ALITOA MAELEZO YAKE.
TUNASIKITIKA KWAMBA CHADEMA WAMEAMUA KUFANYA SIASA CHAFU
ZINAZOTUHUSISHA KATIKA HARAKATI ZAO AMBAZO ZIMESHINDWA KUFANIKISHA KUWASHAWISHI WATANZANIA ILI WAWACHAGUE.
AIDHA, TUNALAANI VIKALI KITENDO HICHO KILICHOFANYWA NA KUNDI LA
MAOFISA NA WALINZI WA CHAMA HICHO, KUINGILIA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI.
CHADEMA WAMEFANYA UNYAMA HUO DHIDI YA MWANDISHI WETU, LAKINI CHAMA CHA MAPINDUZI HAKIJAWAHI KUFANYA HIVYO. HIVYO TUKIO HILI LIMEONYESHA PICHA HALISI CHA CHAMA HICHO AMBACHO KINALILIA KUWAONGOZA WATANZANIA.
WAKATI TUNALAANI UNYAMA HUO, TUNAAMINI VYOMBO VYA HABARI VITAKEMEA TUKIO HILI, LAKINI PIA TUNAAMINI HATUA STAHIKI ZA VYOMBO VYA DOLA IKIWEMO POLISI VITACHUKUA HATUA DHIDI YA WALIOHUSIKA NA UNYAMA HUO.
DAIMA CCM IMEKUWA IKIENDESHA KAMPENI ZA KISTAARABU KATIKA KIPINDI HIKI
CHA UCHAGUZI MKUU TOFAUTI NA CHADEMA. UONGOZI WA UPL UNATOA POLE KWA LISSA NA KUMTAKIA MATIBABU MEMA.
RAMADHANI MKOMA,
KAIMU MHARIRI MTENDAJI,
UHURU PUBLICATIONS LIMITED