Mbunge mteule wa CCM Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel akiwa katika kijiwe cha kahawa, mara baada ya msafara wake kusimishwa ghafla na vijana hao na kumtaka waongee naye.
Mbunge mteule wa CCM Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel akisalimiana na baadhi ya vijana, katika kijiwe cha kahawa, mara baada ya msafara wake kusimishwa ghafla na vijana hao na kumtaka waongee naye.
Mbunge mteule wa CCM Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel akizungumza na vijana hao katika kijiwe cha kahawa, mara baada ya msafara wake kusimishwa ghafla na vijana hao na kumtaka waongee naye.
Mbunge mteule wa CCM Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel akimiminiwa chai ya tangawizi katika kijiwe cha kahawa, mara baada ya msafara wake kusimishwa ghafla na vijana hao na kumtaka waongee naye.
Burudani ya mchezo wa bao, ukiendelea katika kijiwe hicho.
Watoto nao mtaani hapo wakifurahia ,ujio wa mgeni huyo, huku wengine wakipata chai ya tangawizi.
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua