Home » » MAMA THUREYA A.SALIM MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT TAIFA ATUA KATA YA UNGA LTD JIJINI ARUSHA.

MAMA THUREYA A.SALIM MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT TAIFA ATUA KATA YA UNGA LTD JIJINI ARUSHA.

Written By CCMdijitali on Sunday, September 20, 2015 | September 20, 2015



 Bi Thureya A Salim ,Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa akipokelewa na kikundi cha ngoma, mara baada ya kuwasili katika kikao cha Wanachama wa UWT Kata ya Daraja II leo.


 Bi Thureya A Salim ,Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa ,akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (hayupo pichani) mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha leo, kabla ya kuanza ziara Wilayani hapo.
 Mbunge Mteule wa UVCCM Taifa Bi Mariam Ditopile ,akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (hayupo pichani) mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha leo, kabla ya kuanza ziara Wilayani hapo.
 Kiongozi wa UWT Taifa Bi Latifa Yusuf ,akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (hayupo pichani) mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha leo, kabla ya kuanza ziara Wilayani hapo.
 Kiongozi wa UWT Taifa Bi Latifa Yusuf na Mbunge Mteule wa UVCCM Taifa Bi Mariam Ditopile ,wakimshuhudia Ndg Abdulaziz  Mwinyijuma ,Afisa wa UWT Makao Makuu, akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (hayupo pichani) mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha leo, kabla ya kuanza ziara Wilayani hapo.
 Bi Thureya A Salim ,Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa akilakiwa na baadhi ya Viongozi wa UWT  Kata ya Daraja II , mara baada ya kuwasili katika kikao cha Wanachama wa UWT Kata ya Daraja II leo.
 Mbunge Mteule wa Viti Maalum UWT Mkoa wa Arusha Bi Catherine Magige akiwasili na kulakiwa na baadhi ya Viongozi wa Chama na UWT Kata ya Daraja II leo.
 Bi Thureya A Salim ,Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa akilakiwa na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Daraja II , mara baada ya kuwasili katika kikao cha Wanachama wa UWT Kata ya Daraja II leo.
 Bi Thureya A Salim ,Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa akipokelewa na kikundi cha ngoma, mara baada ya kuwasili katika kikao cha Wanachama wa UWT Kata ya Daraja II leo.
 Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Vicky Edward (kushoto) na Bi Thureya A Salim ,Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika kikao cha Wanachama wa UWT Kata ya Daraja II leo.
 Mwenyekiti wa CCM Kata ya Daraja II Ndg Dudu akiwa na Katibu wa CCM Kata Ndg Mkombozi kwa jina maarufu katika kikao cha Wanachama wa UWT Kata ya Daraja II ,katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Daraja II , leo.
 Baadhi ya Viongozi wa CCM Kata ya Daraja II wakiwa katika kikao cha  Wanachama wa UWT Kata ya Daraja II ,katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Daraja II , leo.
 Wanachama wa UWT Kata ya Daraja II ,katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Kata ya Daraja II , leo.

 Kiongozi wa UWT  Taifa Bi Latifa Yusuf  akiongea na Wanachama wa UWT Kata ya Daraja II ,katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kata ya Daraja II , leo.
 
 
 Mbunge Mteule wa UVCCM Taifa Bi Mariam Ditopile akiongea na Wanachama wa UWT Kata ya Daraja II ,katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kata ya Daraja II , leo.
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua.

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link